M massaiboi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 1,359 Reaction score 2,052 Jun 2, 2020 #101 Kingine serikali ingeweza fanya entry fee iwe zero, hawa watu wakija kwa wingi wataspend dollars kwenye malazi, vyakula, usafiri nk nk, hapo itakuwa imetengeneza ajira za kumwaga na ikakusanya kodi ya mapato kwa wingi. Sent using Jamii Forums mobile app
Kingine serikali ingeweza fanya entry fee iwe zero, hawa watu wakija kwa wingi wataspend dollars kwenye malazi, vyakula, usafiri nk nk, hapo itakuwa imetengeneza ajira za kumwaga na ikakusanya kodi ya mapato kwa wingi. Sent using Jamii Forums mobile app