Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Samahani bro, hatuhitaji mashindano. We huamini Biblia, sisi tunaiamini. Tunakuomba mkuu utuache tuendelee na mada. We nenda kule kwenye jukwaa la Science, siasa au international mkuu. Samahank kwa hilo kiongozi.Unataka kuwekewa hoja kutoka kwenye Biblia iliyojaa logical fallacies na Contradictions..!!
Unataka hoja kwenye Biblia ambayo ni man-made inayokupa ugumu wa kujua siku ya pasaka ni ipi?
Kama Biblia imeshindwa kukupa majibu ya pasaka ni siku ipi exactly, unataka majibu kutoka reference ipi?