Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

Samahani bro, hatuhitaji mashindano. We huamini Biblia, sisi tunaiamini. Tunakuomba mkuu utuache tuendelee na mada. We nenda kule kwenye jukwaa la Science, siasa au international mkuu. Samahank kwa hilo kiongozi.
 
Wayahudi Bado wanatazama mwezi na nimekupa Tarehe yao Ya leo ni Tarehe 22 Mwezi wa Adar II ambao huu ni mwezi wa Hukumu Na mwezi wa Kwanza Utafika baada ya wiki Moja so Tunategemea Pasaka Baada ya wiki Tatu kutoka sasa kwenye mwezi wa Nissani..
Still hata wakitazama na vipi kuhusu mwezi ulio ongezwa hiyo cycle itakuwa sawa kama zamani?
 
Mkuu Narudia tena pengine,Hunifahamu Vizuri
Mimi kwa sasa Kuitwa Dogo niliitwa miaka Mingi sana iliyopita, Pengine hata Kijana pia..

Japo kwa Jf wengi huniita Mzee Kijana!

But Thanks Nimelikubali Hilo Jina kuanzia leo nitajiita Dogo Mambo jambo πŸ˜…πŸ˜…
 
Mwezi Nissan ni mwezi gani ..?
 
Still hata wakitazama na vipi kuhusu mwezi ulio ongezwa hiyo cycle itakuwa sawa kama zamani?
Hakuna mwezi ulioongezwa Mkuu!
It was Just a pinch of changing the day..
Kutoka Julian Calenda kwenye Gregory ni kama wiki kadhaa tu zilikuwa skipped not kuongezwa
 
UKo sawa kabisa Na hilo sipingi..
Lakini nichosema kulikuwa na haja gani ya Kubadili jina Kutoka Paska kuwa Easter?

Kama Mungu aliamuru Ifanyike Tarehe anayotaka Yeye Then kwanini Walibadilisha??
Hiyo Easter labda wewe ndio unasheherekea ila sisi waamini tunasheherekea "Passover"πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†

Kuna vitu ambavyo mkuu haviepukiki kwenye ulimwengu wa sasa nacho ni "muingiliano wa mila na tamaduni mbalimbali" japo havitakiwi kututoa katika uwepo wa Mungu. Muingiliano wa kijamii ndio chanzo cha kubadilika kwa tarehe na siku ila kikubwa ni "msingi wa kile tushehereacho" mkuu. Bado nabaki pale pale, "tunasheherekea na kukumbuka tukio gani" regardless ya siku na majira.
 
Wayahudi Bado wanatazama mwezi na nimekupa Tarehe yao Ya leo ni Tarehe 22 Mwezi wa Adar II ambao huu ni mwezi wa Hukumu Na mwezi wa Kwanza Utafika baada ya wiki Moja so Tunategemea Pasaka Baada ya wiki Tatu kutoka sasa kwenye mwezi wa Nissani..
Mwezi Nissan ndio march?
 

Unajiongeza tu lakini mtoa mada amesha maanisha ni pasaka ipi, ametaja mpaka tarehe, unasemaje sasa
 
HIyo Pasaka ya kwanza Iliwekwa na Mungu mwenyewe Na kutangaza Tarehe, hiyo paskaa ya Pili aliiweka Nani?
Na unajia Chimbuko Lake??
Hii ni tamaduni tu, kama ilivyo krismasi. Hazijawekwa kibiblia, hazijaagizwa na Mungu. Ila Yesu aliagiza wanafunzi wake wale mkate (chakula cha Bwana) kukumbuka mwili wake na pia wanywe divai kukumbuka damu yake iliyomwagika msalabani. Haya yapo Kibiblia na hufanyika kabla ya Pasaka (easter), lakini jumapili ni utaratibu uliowekwa na wanadamu kuadhimisha siku aliyofufuka Yesu. Kwa hiyo haipo kwenye biblia, kwamba ni maagizo.
 
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† haya mkuu, much love and respect kwako.
 
Passover (Paska) ni Kumbukumbu Ya Mikate isiyotiwa chachu na Divai na ilisherekewa kama Kumbukumbu ya ukombozi kutoka Misri kwenda kanaani..

Easter ni Kumbukumbu siku ya Kufa na kufufuka kwa yesu..

Mkuu hizi siku ni Mbili tofauti tusipindishe kwa wale wasiojua
 
Kuna kitu umeshindwa kuelewa mkuu. Hatusheherekei siku bro, tunasheherekea "tukio".
Kuna tukio lililotokea bila siku husika?

Acha kuleta ufafanuzi uchwara.

Sema siku husika.
Pasaka tunayosheherekea inaitwa Passover na hata tukisheherekea mwezi wa 7 au 8 hatutakosea wala halitakuwa kosa kwani tunakumbuka tukio la "kazi njema ya msalaba ushindi juu ya mauti"
Eleza siku exactly ni ipi.

Yani ni sawa uambiwe tunasherehekea miaka 63 ya uhuru halafu siku husika ya uhuru wenyewe haijulikani.

Kwamba mnasherekea tukio tu ambalo hamjui lilitokea exactly siku ipi.
 
Pasaka ni agizo. Kuabudu Jumapili ni kukumbuka siku aliyofufuka kwake Yesu ni sawa tuabudu katika mwanzo mpya wa siku baada ya kuishinda mauti. Kusheherekea kuzaliwa kwa Kristo ni Agizo la malaika "Furaha kuu kwa ulimwengu, kwani leo amezaliwa Yesu aliye mkombozi wa ulimwengu" Luke 2:10.

Kuhusu "siku na majira ya sherehe", hatusheherei siku wala majira ila "tunasheherekea tukio". Nafikri nami nimechangia kidogo mkuu.
 
Haya mkuu, kuwa na siku njema. Byeeeeeee
 
Mkuu wanaleta Loggical fallacies kwenye Facts inayoonekana πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…