Kwanini tarehe za 21 hadi 4 Wanajeshi wanakuwa na Furaha tele, ila kuanzia tu tarehe 5 hadi 20 Wanatia mno Huruma na kuwa na Usununu / Hasira?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na hapa GENTAMYCINE nawaongelea / nawalenga zaidi wale Non Commissioned Officers ( Wanajeshi wa Ngazi za Chini ) na wala sina shida na wale Wakubwa ( Commissioned Officers ) kwakuwa sijawahi kuwaona wakiwa na hali ambayo huwa naiona kwa hawa Wenzao ninaowajadili wa Vyeo cha Chini wakiongozwa na Mwenzao hapa King Kong III ambaye kuna Siku alinifyekesha ( bila kujua Mimi ndiyo GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums ) baada ya Kunifuma nikitongoza Kichakani Binti Mrembo wa Afande Jirani yake Ghorofa analoishi ambalo nalihifadhi kwa sasa na Kimaadili.
 
Kwa kugha rahisi unasema askari ambaye sio officer wana njaa/mishahara midogo? Research hii umefanyia wapi?
 
Na hapa GENTAMYCINE nawaongelea / nawalenga zaidi wale Non Commissioned Officers ( Wanajeshi wa Ngazi za Chini ) na wala sina shida na wale Wakubwa ( Commissioned Officers ) kwakuwa sijawahi kuwaona wakiwa na hali ambayo huwa naiona kwa hawa Wenzao ninaowajadili wa Vyeo cha Chini wakiongozwa na Mwenzao hapa King Kong III ambaye kuna Siku alinifyekesha ( bila kujua Mimi ndiyo GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums ) baada ya Kunifuma nikitongoza Kichakani Binti Mrembo wa Afande Jirani yake Ghorofa analoishi ambalo nalihifadhi kwa sasa na Kimaadili.
wanapokeaga salary kulipa madeni, wanabaki salio kidunchu mno kula bata,
salio ambaolo halitoshi hata wafanyeje kuunganisha tarehe20 ya mwezi huu na 21 mwezi ujao,
zaidi sana ni kuongeza deni tyyuuuu
 
Purely Charismatic fella, Game changer and Enterntner Mnyabe
 
Back
Top Bottom