GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na hapa GENTAMYCINE nawaongelea / nawalenga zaidi wale Non Commissioned Officers ( Wanajeshi wa Ngazi za Chini ) na wala sina shida na wale Wakubwa ( Commissioned Officers ) kwakuwa sijawahi kuwaona wakiwa na hali ambayo huwa naiona kwa hawa Wenzao ninaowajadili wa Vyeo cha Chini wakiongozwa na Mwenzao hapa King Kong III ambaye kuna Siku alinifyekesha ( bila kujua Mimi ndiyo GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums ) baada ya Kunifuma nikitongoza Kichakani Binti Mrembo wa Afande Jirani yake Ghorofa analoishi ambalo nalihifadhi kwa sasa na Kimaadili.