Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Inasikitisha sana kuona chombo kikuu cha habari hapa nchini, kikifanya ubaguzi kwa walipa kodi ambao kimsingi ndiyo chanzo cha uwepo wa chombo hicho.
Uchaguzi wa CHADEMA, soma Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Mimi nikiwa kama Mtanzania ambaye ningependa kufuatilia mkutano wa chama cha demokrasia na maendeleo, ninefungua chombo changu cha habari ambacho ninakilipia kodi na uendeshaji wake unajinasibu kwamba ni chombo cha Tanzania, Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, Tanzania inayojinasibu kwa demokrasia, Tanzania inayojiita nchi ya amani!
Ila nimesikitika kuona hawana muda kabisa na kikao hiki muhimu kwa Demokrasia ya Tanzania!
Hii ndiyo Tanzania inayojiita nchi ya Amani, Hii ndiyo Tanzania tunayosema chaguzi zake ni za huru na haki!
MUNGU IBARIKI AFRIKA!