Kwani nani anahisiwa atasababisha machafuko, walio anzisha mauwaji ya wanasiasa ni nani huenda kuna jibu kwa hili sio watu kuwa waoga tu, au wanajihisi kuna kulipa kisasiWanadhani Tanzania kutatokea machafuko ambayo mara nyingi husababishwa na uchu wa madaraka na kuongoza kwa kuto fuata sheria
Mabadilko ni wewemataga yana hofu ya kuachia ikulu bila kupenda!
swadaktaMabadilko ni wewe
Kweli Mkuu..Kutazama tbc1 inahitaji uwe na moyo wa chuma ujikaze haswaa,
Mimi ili kutazama tbc1 labda inikute ukweni sina mamlaka ya kushika remote control.
'Self image' nitabia ambayo binadamu anayo, iliyo jijenga kwake kwa muda mrefu kuibadilisha kirahisi ni ngumu wenye mtizamo finyu hudhani wao wakosahihi kuliko wengineswadakta
nimeona wanaonesha ile hotuba ya MAGU akizungumzia issue za GADAFI sijui ujinga wao utaisha liniKuna nini? Kwanini TBC1 wana tangazo moja tu la Historia ya Libya na Iraq, kuna nini huku kwetu, wanatengeneza mazingira au ni kampeni, mwenye uelewa atujulishe maana, kwangu binafsi sina Histora yoyote ya ACT wala CHADEMA kuwateka wanachama wa CCM na kuwaua sina kabisa, huenda wengine wana historia ya wengine kuwaua wengine.
Kujuzane hatuelewi kabisa.
Pale TBC pana mpumbavu mmoja anaitwa Shaban Kisu ndiye kilaza wa ku engineer huo ujinga!Kuna nini? Kwanini TBC1 wana tangazo moja tu la Historia ya Libya na Iraq, kuna nini huku kwetu, wanatengeneza mazingira au ni kampeni, mwenye uelewa atujulishe maana, kwangu binafsi sina Histora yoyote ya ACT wala CHADEMA kuwateka wanachama wa CCM na kuwaua sina kabisa, huenda wengine wana historia ya wengine kuwaua wengine.
Kujuzane hatuelewi kabisa.
Mtoto akitazama sana hiyo chanel akili italemaa ndiyomaana ni kosa kubwa mtoto kutazama Tbc ndani kwangu.Kweli Mkuu..
Unaweza kurushia jiwe luninga hivi hivi.