Kwanini TBC wanatulazimisha kusikiliza kila dakika Habari ya Libya na Iraq?

Kwanini TBC wanatulazimisha kusikiliza kila dakika Habari ya Libya na Iraq?

Kuna nini? Kwanini TBC1 wana tangazo moja tu la Historia ya Libya na Iraq, kuna nini huku kwetu, wanatengeneza mazingira au ni kampeni, mwenye uelewa atujulishe maana, kwangu binafsi sina Histora yoyote ya ACT wala CHADEMA kuwateka wanachama wa CCM na kuwaua sina kabisa, huenda wengine wana historia ya wengine kuwaua wengine.

Kujuzane hatuelewi kabisa.
GADAFI NA SADDAM walivuna walichopanda kwa kutowaunganisha watu wao thus adui akapata nafasi ya kuwasambaratisha.Swali jiulize kwann wameshindwa kuisambaratisha Iran ni kwa sababu irani ni wamoja,ukiwaunganisha wananchi wako usiwabague sababu ya vyama,ukawtendea haki,hakuna dabo standard,ujawasomesha namba watu wako,watakuwa wamoja na hakuna adui yeyeto atakaeungana nao kukusanabaratisha case study Irani.
Ukiwa kiongozi ni kucheza na teckniki mbili tu moja usiwasomeshe namba watu wako pili usiguse maslai ya mabeberu kama walivofanya kagame na mseveni utatawala hadi uchoke.Gusa maslai ya mabeberu huku umesomesha namba watu wako ni lzm maji uyaite mma tu.Gadafi na SADDAM waliundiwa vikundi vya kuwatoa madarakani kutokana na watu wake hao hao waliokuwa wakiwamaliza na kuwaumiza.Siku zote ukiuumiza watu ni lzm watashirikiana na wa njeau nguvu yeyeote ili kupata usaidizi watakuondoa tu kwa demokrasia kupitia kura au bunduki hii ni principle tu. so Jiwe awe mpole tu masika imeisha huu ni wakati wa kuvuna mazao,kutumia tbc hakuwezi badili upepo,tuliapa hatupigi kura ila sababu upepo umebadilika kwa wingi mapema asubui tunampa kura mtanzania mwenzetu atatuongoza vyema.
 
TBC inahitaji marekebisho makubwa sana, TV ya umma inayotumika na ccm pekee.Ccm wanachokifanya sio uzalendo kwa taifa letu
propaganda haitowasidia njaa ina nguvu kuliko propaganada zao.
Sisi ndio wajumbe wenyewe silaha yetu njaa.Kwa njaa ya miaka 5 waliyotuletea, october ni sahihi kisasi.
badala ya kutununua sisi wapiga kura eti walinunua wapigiwa kura kina juabaridi.njaa ni silaha tosha,njaa ni jeshi tosha,kupitia njaa ndipo ukombozi uja,njaa ndo inakwenda isambaratisha ccm,
walitusomesha namba sasa ni zamu yao kuisoma namba
 
Lisemwalo lipo na kama halipo basi laja, kama halipo kwanini wanatulazimisha tuendelee kulisikiliza? sisi tuna amani hatupo huko wala hatuna haja ya kuambiwa si tumeyaona kwann walazimishe yaingie masikioni mwetu. Ryoba (MKURUGENZI WA TBC)naye sijui nini kimemkuta
There are brainwashed
 
Kuna nini? Kwanini TBC1 wana tangazo moja tu la Historia ya Libya na Iraq, kuna nini huku kwetu, wanatengeneza mazingira au ni kampeni, mwenye uelewa atujulishe maana, kwangu binafsi sina Histora yoyote ya ACT wala CHADEMA kuwateka wanachama wa CCM na kuwaua sina kabisa, huenda wengine wana historia ya wengine kuwaua wengine.

Kujuzane hatuelewi kabisa.

Hiki ni kizazi cha global vision,watawaliwa wana akili kuliko watawala ambao akili zao bado ziko zama za tanu.Hizo ni propaganda mfu haiwasaidiii
 
Back
Top Bottom