GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtangazaji Maulid Kitenge
Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?
Mchambuzi Jemedari Said
Ushahidi wa Tuhuma za Haji Manara ziko wazi na hata Yeye Mwenyewe amekiri kupitia Msamaha wake aliouomba na Kuukiri.
Mtangazaji Maulid Kitenge
Kwanini Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau jana kawahi Kumjibu Haji Manara ila Hukumu ya Maamuzi ya Kesi bado hawajampa?
Mchambuzi Jemedari Said
Aliyehukumu Kesi si Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau bali ni Judicial Commetee ambayo Katibu Mkuu wa TFF hana Mamlaka nayo ukizingatia kuwa Yeye ( Katibu ) na Sekretarieti ya TFF ndiyo Washtaki Wakuu.
Mtangazaji Maulid Kitenge
Mbona Rais wa TFF Wallace Karia nae hajaitwa Kuhojiwa kwa Maneno yake Machafu na ya Kebehi aliyoyatoa kwa Haji Manara?
Mchambuzi Jemedari Said
Haji Manara hajashtakiwa na Rais wa TFF Wallace Karia bali ameshtakiwa na Sekretarieti ya TFF iliyo chini ya Katibu Mkuu wa TFF.
Mtangazaji Maulid Kitenge
Mbona inaonekana kama vile Haji Manara anaonewa na kuna Chuki Binafsi dhidi yake?
Mchambuzi Jemedari Said
TFF ya Rais Wallace Karia ingemchukia ingemteua kama Mmoja wa Wajumbe wa Saidia Taifa Stars na ingekuwa inamsamehe Makosa yake mengine ya Kujirudia na yasiyovumilika?
Hongera sana Mchambuzi wangu Genius kabisa wa Mpira wa Miguu ninayekukubali Tanzania nzima na huwa siachi Kukusikiliza EFM Jemedari Said Kazumari kwa Kumuonyesha Maulid Kitenge kuwa Kiupeo na Kiuelewa wa Mambo bado ni Mchanga mno na kwamba hata ile Division Zero yake aliyoipata akiwa anasoma ilimstahili na Kumpendeza pia.