Huu ujinga wenu wa copy & paste bila kujua maana ya kilichoandikwa mtauacha lini?
Manasema vipi Manara alitakiwa kushtakiwa na Karia personally kwa kupelekwa polisi wakati lile tukio lilitokea kwenye mechi ya mpira wa miguu, ambao Karia ndie boss wake hapa Tanzania?
Kama mnataka Karia akamfungulie Manara mashtaka mahakama za kawaida, sharti lile tukio lingekuwa limetokea mtaani, na sio uwanjani, hapo ndio mngesema "Karia kama mtu wa kawaida"
Mwambieni huyo bush lawyer wenu afanye marekebisho ya hiyo hoja yake "fake" hapo.