Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?

Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?

Miongoni mwa wachambuzi wanaochambua timu moja pekee nchi nzima? Simtetei Manara, lakini katika hii kesi Jemadari Said ndo Wakili wa Wallace Karia. Mtu ambaye alimhukumu Manara kabla ya kesi kuanza kusikilizwa atakuwa mchambuzi sahihi?
Angalia huyu mpumbavu Waheed

Haji ana mtiririko wa matukio ambayo hayavumiliki na fimbo yake kubwa ni kujikinga kutaka huruma ya watu, toka akiwa CCM, Simba SC, na sasa Yanga SC,

Okay, kama Jemedari anampiga vita na amesimama upande wa Karia..!

Je na hawa aliokuwa anawatukana na kuwakejeli na kuwavunjia heshima zao, MO Dewji na kumtishia CEO kuwa he will kick her out of Simba, na akahamia kwa waandishi wa habari, Kishamba, Shafiih, na Kitenge.

Akaja kwa Mwakalebela, Muro, Nugaz na wengine..! Hivi kweli kama una akili timamu unaweza ukakaa na kumtetea huyu mtu na kuona kama anaonewa..!

Zero Zero Brain Waheed..!
 
Mtangazaji Maulid Kitenge

Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?

Mchambuzi Jemedari Said

Ushahidi wa Tuhuma za Haji Manara ziko wazi na hata Yeye Mwenyewe amekiri kupitia Msamaha wake aliouomba na Kuukiri.

Mtangazaji Maulid Kitenge

Kwanini Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau jana kawahi Kumjibu Haji Manara ila Hukumu ya Maamuzi ya Kesi bado hawajampa?

Mchambuzi Jemedari Said

Aliyehukumu Kesi si Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau bali ni Judicial Commetee ambayo Katibu Mkuu wa TFF hana Mamlaka nayo ukizingatia kuwa Yeye ( Katibu ) na Sekretarieti ya TFF ndiyo Washtaki Wakuu.

Mtangazaji Maulid Kitenge

Mbona Rais wa TFF Wallace Karia nae hajaitwa Kuhojiwa kwa Maneno yake Machafu na ya Kebehi aliyoyatoa kwa Haji Manara?

Mchambuzi Jemedari Said

Haji Manara hajashtakiwa na Rais wa TFF Wallace Karia bali ameshtakiwa na Sekretarieti ya TFF iliyo chini ya Katibu Mkuu wa TFF.

Mtangazaji Maulid Kitenge

Mbona inaonekana kama vile Haji Manara anaonewa na kuna Chuki Binafsi dhidi yake?

Mchambuzi Jemedari Said

TFF ya Rais Wallace Karia ingemchukia ingemteua kama Mmoja wa Wajumbe wa Saidia Taifa Stars na ingekuwa inamsamehe Makosa yake mengine ya Kujirudia na yasiyovumilika?

Hongera sana Mchambuzi wangu Genius kabisa wa Mpira wa Miguu ninayekukubali Tanzania nzima na huwa siachi Kukusikiliza EFM Jemedari Said Kazumari kwa Kumuonyesha Maulid Kitenge kuwa Kiupeo na Kiuelewa wa Mambo bado ni Mchanga mno na kwamba hata ile Division Zero yake aliyoipata akiwa anasoma ilimstahili na Kumpendeza pia.
Huyo kitenge anavizia wanachi day tu!
 
Nimeshangaa sana leo, yaani Kitenge pamoja na kutukanwa kipindi kile na Manara kuwa huwa anaenda US kudanga kwa Basha wake leo amekua mtetezi Mkuu wa Haji kiasi kwamba haoni kabisa makosa yake? Au kuna bahasha zinapenyezwa. Kweli Fedha inaweza kumfanya mtu kuwa mpumbavu.
Kitenge ( EFM ), Abisai Steven na Omary Majani ( EA Radio ), Yusuf Mkule na Paul Mkai ( Wasafi FM ), Yahaya Njenge na Privaldinho ( Clouds FM ) wapo katika 'Payroll' ya GSM kupitia Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said.
 
Jemedari ninachomkubali yeye ni Black and white hapaki rangi.
Huwa napenda Mtu wa aina yake. Na Watu wengi wasichokijua ni kwamba Jemedari Said Kazumari si tu ni Mshabiki bali pia ni Mwanachama wa Yanga SC 100%.
 
Kitenge ( EFM ), Abisai Steven na Omary Majani ( EA Radio ), Yusuf Mkule na Paul Mkai ( Wasafi FM ), Yahaya Njenge na Privaldinho ( Clouds FM ) wapo katika 'Payroll' ya GSM kupitia Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said.
Halafu hawa wote wana vimelea vya ile jinsia ya tatu. So sad!!!!

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jemedari kwangu ndyo chambuzi bora kabsa kuwahi kutokea
Ukiona GENTAMYCINE nampenda Mtu ( kama Mchambuzi huyu Jemedari Said Kazumari ) jua kwa Vigezo vyangu vyote nimeshamchuja na Kujiridhisha nae pasi na Shaka.

Mwingine ambaye pamoja na Mimi kuwa mwana Simba SC na Yeye ( kama alivyo Jemedari Said Kazumari ) ni mwana Yanga SC ni Mchambuzi Ally Mayai Tembele.
 
Uchambuzi wa humu Ni Kama wa mke mdogo na mkubwa kila mtu anamshambulia au kumsapoti mume ,kulingana siyo na fact Bali ugomvi wao ktk ukewenza
Nimeeleweka
Umeeleweka Mkuu mambumbumbu wanajitia kidole cha kati na then wanakinusa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Miongoni mwa wachambuzi wanaochambua timu moja pekee nchi nzima? Simtetei Manara, lakini katika hii kesi Jemadari Said ndo Wakili wa Wallace Karia. Mtu ambaye alimhukumu Manara kabla ya kesi kuanza kusikilizwa atakuwa mchambuzi sahihi?
Achana na Ng"ombe hizi Mkuu[emoji120]
 
MANARA : Wachambuzi wote 'TAKATAKA'.

Nimeamini wapo ambao kweli kama alivyosema haji....! TAKATAKA

Hee ....bado wapo wanaomtetea.?
 
TFF NA 'KICHEKESHO' CHA SAKATA LA HAJI MANARA

Mbali na mambo mengine katika sakata hilo, bado pia kuna mengine ambayo ni pamoja na haya yafuatayo:

(1) Katika Kanuni zote za adhabu za TFF, hakuna hata moja ya kumtoza mtu shilingi milioni 20;

(2) Katika mashtaka yale, mlalamikaji alipaswa awe Wallace Karia mwenyewe na siyo Sekretarieti ya TFF ambayo ndiyo inailipa posho zote Kamati ya Maadili, hivyo lazima itekeleze maelekezo inayoielekeza kama mwajiri.

Hapa kwa tafsiri nyingine, mlalamikaji hakuwa Karia ila Sekretarieti ya TFF ambayo haijasema inahusikaje na ugomvi wa Manara na Karia wala kuwa ina maslahi gani na malumbano hayo, hasa pale ambapo yule anayedaiwa kudhalilishwa hakulalamika.

Mwisho katika hili, kwa vile Kamati ya Maadili inalipwa posho zote za shughuli zake na Sekretarieti ya TFF zikiwemo za kusikiliza mashtaka, hapa maana yake ni kwamba yenyewe ndiyo iliyokuwa mlalamikaji, shahidi wa upande wa mashtaka na hakimu aliyetoa hukumu hiyo;

(3) Karia aliyepaswa awe ndiye shahidi mkuu wa upande wa mashtaka, kisha wengine wote wabaki kuwa mashuhuda, lakini hakuitwa wala kufika ili kutoa ushahidi wake;

(4) Kamati ya Maadili ya TFF haijasema chanzo cha Manara kufanya hivyo wala haijataja mashahidi waliofika mbele yake ili kutoa ushahidi wao dhidi ya Manara.

Hii ni kwa sababu, inawezekana Manara alikuwa anajihami au kujibu mapigo baada ya kuchkozwa, kutukanwa au kudhalilishwa kwanza na Karia; na

(5) Kwa mujibu wa Sheria za TFF, anayefikishwa katika Kamati ya Maadili kwa masuala ya soka ni kiongozi wa kuchaguliwa wa Klabu, Chama cha Soka cha ngazi yoyote, chombo cha Shirikisho la Soka au mwenye nafasi ya kuteuliwa iliyopo kwenye muundo wa Shirikisho la Kandanda Duniani au FIFA.

Nafasi ya "Mhamasishaji" kama aliyonayo Manara haipo katika muundo wa FIFA, hivyo anaweza tu kuwa ni shabiki wa Yanga ambaye hawezi kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF ila mahakamani kama alimdhalilisha Karia.

Alipaswa ashtakiwe Kituo cha Polisi na Karia mwenyewe, kisha apelekwe mahakamani kama mtu binafsi na mlalamikaji akawe shahidi wa Jamhuri kama mtu binafsi na siyo kama Rais wa TFF.

Katika kutekeleza mfumo na muundo wa FIFA, Yanga yenyewe ina Afisa Habari wake, Hassan Bumbuli. Huyo ndiye anaweza kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF.

Kutokana na hali hiyo na hata vinginevyo, swali linalozuka hapa ni je, tangu lini Manara ni kiongozi wa kuchaguliwa au afisa wa kuteuliwa wa Yanga kwa kuzingatia muundo wa FIFA?

Ni cha kujifunza hapa na kukishika kila mshabiki na kukipigia kelele siku zote hadi Manara atakapoachiwa huru ni wajibu ni kwa nini mashabiki au shabiki anaporusha chupa ya maji uwanjani inaazibiwa klabu na si mhusika why Manara ahukumiwe kama yeye wakati anaipigania timu.

Kesi hii tutashinda kabla ya tar.6.8.2022.Tumuombe Mungu
 
M
Mtangazaji Maulid Kitenge

Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?

Mchambuzi Jemedari Said

Ushahidi wa Tuhuma za Haji Manara ziko wazi na hata Yeye Mwenyewe amekiri kupitia Msamaha wake aliouomba na Kuukiri.

Mtangazaji Maulid Kitenge

Kwanini Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau jana kawahi Kumjibu Haji Manara ila Hukumu ya Maamuzi ya Kesi bado hawajampa?

Mchambuzi Jemedari Said

Aliyehukumu Kesi si Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau bali ni Judicial Commetee ambayo Katibu Mkuu wa TFF hana Mamlaka nayo ukizingatia kuwa Yeye ( Katibu ) na Sekretarieti ya TFF ndiyo Washtaki Wakuu.

Mtangazaji Maulid Kitenge

Mbona Rais wa TFF Wallace Karia nae hajaitwa Kuhojiwa kwa Maneno yake Machafu na ya Kebehi aliyoyatoa kwa Haji Manara?

Mchambuzi Jemedari Said

Haji Manara hajashtakiwa na Rais wa TFF Wallace Karia bali ameshtakiwa na Sekretarieti ya TFF iliyo chini ya Katibu Mkuu wa TFF.

Mtangazaji Maulid Kitenge

Mbona inaonekana kama vile Haji Manara anaonewa na kuna Chuki Binafsi dhidi yake?

Mchambuzi Jemedari Said

TFF ya Rais Wallace Karia ingemchukia ingemteua kama Mmoja wa Wajumbe wa Saidia Taifa Stars na ingekuwa inamsamehe Makosa yake mengine ya Kujirudia na yasiyovumilika?

Hongera sana Mchambuzi wangu Genius kabisa wa Mpira wa Miguu ninayekukubali Tanzania nzima na huwa siachi Kukusikiliza EFM Jemedari Said Kazumari kwa Kumuonyesha Maulid Kitenge kuwa Kiupeo na Kiuelewa wa Mambo bado ni Mchanga mno na kwamba hata ile Division Zero yake aliyoipata akiwa anasoma ilimstahili na Kumpendeza pia.
Mkuu hakika...Kitenge ni mweupe sana, ufahamu 0 amekaa kimagumashi..nasi tu ana kibahati flani tu, ila ni mtu flani anaishi kiujanja janja ktk tasnia ya habari. Haki Jemedari anawanyoosha wale wasiotaka kutaka kujua ukweli wa mambo...kwako GENTAMYCINE
 
Jemedari ni MPUMBAVU tu...haelewi kitu zaidi ya ushabiki, Chuki na uchonganishi...

Haji ana mapungufu yake lkn Rais wa TFF na genge lake wanamapungufu makubwa mno...
 
M

Mkuu hakika...Kitenge ni mweupe sana, ufahamu 0 amekaa kimagumashi..nasi tu ana kibahati flani tu, ila ni mtu flani anaishi kiujanja janja ktk tasnia ya habari. Haki Jemedari anawanyoosha wale wasiotaka kutaka kujua ukweli wa mambo...kwako GENTAMYCINE
Unaijua vizuri cv ya kitenge?nyie watoto mnaowekewa bando na shemeji zenu mna tabu sana
 
Back
Top Bottom