Alikuwa anajua zile maneno zake za shombo zitawaogopesha watu wasimguse, sasa wameshamzoea naona wachambuzi kama watatu nguli wanamchana chana tu..Jemedari anamchana chana live hakwepeshi, nachoona kama anguko la Manara inakuja kwasababu anagombana na kila mtu na sasa wamemzoea hawamwogopi tena
Wewe ni shoga mwandamizi na umerithi toka kwa babako naye alikuwa anabokolewa sana akilewa tu wasela hawachezi mbali akiangusha wanamla mtungo. Ushoga wako wewe uko kwenye damu maana hata bimkubwa wako naye anatoa ndogo ndiyo maana alipata shida sana kukuzaa wewe.Hata wewe hivyohivyo nasikia mshua wako hamuamini bi mkubwa wako hata mimba yako sio halali
Huu ujinga wenu wa copy & paste bila kujua maana ya kilichoandikwa mtauacha lini?TFF NA 'KICHEKESHO' CHA SAKATA LA HAJI MANARA
Mbali na mambo mengine katika sakata hilo, bado pia kuna mengine ambayo ni pamoja na haya yafuatayo:
(1) Katika Kanuni zote za adhabu za TFF, hakuna hata moja ya kumtoza mtu shilingi milioni 20;
(2) Katika mashtaka yale, mlalamikaji alipaswa awe Wallace Karia mwenyewe na siyo Sekretarieti ya TFF ambayo ndiyo inailipa posho zote Kamati ya Maadili, hivyo lazima itekeleze maelekezo inayoielekeza kama mwajiri.
Hapa kwa tafsiri nyingine, mlalamikaji hakuwa Karia ila Sekretarieti ya TFF ambayo haijasema inahusikaje na ugomvi wa Manara na Karia wala kuwa ina maslahi gani na malumbano hayo, hasa pale ambapo yule anayedaiwa kudhalilishwa hakulalamika.
Mwisho katika hili, kwa vile Kamati ya Maadili inalipwa posho zote za shughuli zake na Sekretarieti ya TFF zikiwemo za kusikiliza mashtaka, hapa maana yake ni kwamba yenyewe ndiyo iliyokuwa mlalamikaji, shahidi wa upande wa mashtaka na hakimu aliyetoa hukumu hiyo;
(3) Karia aliyepaswa awe ndiye shahidi mkuu wa upande wa mashtaka, kisha wengine wote wabaki kuwa mashuhuda, lakini hakuitwa wala kufika ili kutoa ushahidi wake;
(4) Kamati ya Maadili ya TFF haijasema chanzo cha Manara kufanya hivyo wala haijataja mashahidi waliofika mbele yake ili kutoa ushahidi wao dhidi ya Manara.
Hii ni kwa sababu, inawezekana Manara alikuwa anajihami au kujibu mapigo baada ya kuchkozwa, kutukanwa au kudhalilishwa kwanza na Karia; na
(5) Kwa mujibu wa Sheria za TFF, anayefikishwa katika Kamati ya Maadili kwa masuala ya soka ni kiongozi wa kuchaguliwa wa Klabu, Chama cha Soka cha ngazi yoyote, chombo cha Shirikisho la Soka au mwenye nafasi ya kuteuliwa iliyopo kwenye muundo wa Shirikisho la Kandanda Duniani au FIFA.
Nafasi ya "Mhamasishaji" kama aliyonayo Manara haipo katika muundo wa FIFA, hivyo anaweza tu kuwa ni shabiki wa Yanga ambaye hawezi kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF ila mahakamani kama alimdhalilisha Karia.
Alipaswa ashtakiwe Kituo cha Polisi na Karia mwenyewe, kisha apelekwe mahakamani kama mtu binafsi na mlalamikaji akawe shahidi wa Jamhuri kama mtu binafsi na siyo kama Rais wa TFF.
Katika kutekeleza mfumo na muundo wa FIFA, Yanga yenyewe ina Afisa Habari wake, Hassan Bumbuli. Huyo ndiye anaweza kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF.
Kutokana na hali hiyo na hata vinginevyo, swali linalozuka hapa ni je, tangu lini Manara ni kiongozi wa kuchaguliwa au afisa wa kuteuliwa wa Yanga kwa kuzingatia muundo wa FIFA?
Ni cha kujifunza hapa na kukishika kila mshabiki na kukipigia kelele siku zote hadi Manara atakapoachiwa huru ni wajibu ni kwa nini mashabiki au shabiki anaporusha chupa ya maji uwanjani inaazibiwa klabu na si mhusika why Manara ahukumiwe kama yeye wakati anaipigania timu.
Kesi hii tutashinda kabla ya tar.6.8.2022.Tumuombe Mungu
Mbona Wewe ndiyo unaonekana Mpumbavu?Jemedari ni MPUMBAVU tu...haelewi kitu zaidi ya ushabiki, Chuki na uchonganishi...
Haji ana mapungufu yake lkn Rais wa TFF na genge lake wanamapungufu makubwa mno...
Mbona Wewe kwa hiki Ulichokiandika hapa ndiyo unaonekana ni Empty kabisa Kichwani?Kazumari kajibu kwa mihemko hakuna jibu la maana kwenye maswali aliyoulizwa yani kwa kifupi kazumari ni empty kichwani
Hongera kwa kuwa na muda wa kupoteza Kumjibu huyo 'Damn Fool Lawyer' kwani Mimi niliposoma tu Maelezo yake marefu nikajua kuwa hakuna cha maana zaidi tu ya kutaka Kujimwambafai Kwetu ili tumuone anajua sana Sheria na ni Mwanasheria pia.Huu ujinga wenu wa copy & paste bila kujua maana ya kilichoandikwa mtauacha lini?
Manasema vipi Manara alitakiwa kushtakiwa na Karia personally kwa kupelekwa polisi wakati lile tukio lilitokea kwenye mechi ya mpira wa miguu, ambao Karia ndie boss wake hapa Tanzania?
Kama mnataka Karia akamfungulie Manara mashtaka mahakama za kawaida, sharti lile tukio lingekuwa limetokea mtaani, na sio uwanjani, hapo ndio mngesema "Karia kama mtu wa kawaida"
Mwambieni huyo bush lawyer wenu afanye marekebisho ya hiyo hoja yake "fake" hapo.
Namjua Maulid tangia akiwa Choka Mbaya tu anakaa pale Kwao Jirani na Uwanja wa Uhuru Temeke.Unaijua vizuri cv ya kitenge?nyie watoto mnaowekewa bando na shemeji zenu mna tabu sana
Hiyo Sigara anawazuga tu Mkuu ila Watu wa Buguruni Malapa na Ilala Bungoni Jirani kabisa na Msikiti Mkubwa pale na Mita chache kutoka Nyumba ya akina Ibrahim Ajibu tunajua Haji Manara anavuta nini ambacho kilimsaidia mno Hayati Bob Marley kuweza Kutunga Nyimbo za maana ambazo hadi Leo zinapendwa na hazijachuja Masikioni Mwetu.Iko moja hapo umeiacha ilibidi nicheke.
Kitenge; Kamati ya Maadili kusema Haji alikwenda uwanjani akiwa na sigara na kiberiti cha gas haikuwa kumdhalilisha Manara?
Jemedari Said; Hakuna asiyejua Manara anavuta sigara, kama alijiona anadhalilishwa kwa kuambiwa anavuta sigara, kwanini anaendelea kuzivuta mbele ya jamii?
MPUMBAVU ni yule Kiongozi asiyejitambua kama Rais wa Mpira wa Bongo Ndg, Karia, kwa kurushiana maneno ya kihuni na Haji Jukwaa Kuu na kusababisha taharuki mbele ya Viongozi wa Serikali...Mbona Wewe ndiyo unaonekana Mpumbavu?
Umekumbuka kunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili ulionao na unaokusumbua sana Asubuhi hii?MPUMBAVU ni yule Kiongozi asiyejitambua kama Rais wa Mpira wa Bongo Ndg, Karia, kwa kurushiana maneno ya kihuni na Haji Jukwaa Kuu na kusababisha taharuki mbele ya Viongozi wa Serikali...
Viongozi hawako kama Karia. Mambo ya ndondo cup kupeleka Jukwaa Kuu.
MPUMBAVU ni Jemedari na wewe pia kwa kuangalia jambo kwa upande mmoja...
Suala la Maadili hapa Rais Karia hawezi kuwekwa pembeni na kumshambulia Haji pekee...kaangalie Ile Clip aliyoisambaza Jemedari saidi vizuri ukaone jinsi Karia na Haji walivyoonyesha utovu wa nidhamu pamoja na kumute Sauti...
Haji anamapungufu lkn Msomali Karia anamapungufu zaidi...
Jemedari ni wa kupuuzwa tu, Kajala Chuki tu moyoni mwake...ndio maana ana conclude mambo asiyoyajua sawasawa...
Mtu aliyekiri kosa, anatolewaje Ushahidi wa ziada ktk usikilizwaji wa shauri, kama alivyofanya Katibu wa TFF Kidao,, !?
Haji anaamuliwa atoe utetezi na anatoa utetezi wa maandishi na unapokelewa ktk shauri ambalo Jemedari Mjinga anadai mtuhumiwa kakiri kosa na Kamati ikaona imuhukumu fasta sababu kakiri hadharani ktk press...
Kajifunzeni jinsi CONFESSION inavyochukuliwa kama Ushahidi mahakamani!?
Punguzeni UJINGA....hasa mpuuzi wewe.
Una akili ndogo sana..!!!? haya sawa nimekunywa [emoji16][emoji16] we vipi vidonge vyako ulishamaliza Dozi?? Maana unaonekana unazidi kuweuka.[emoji27]Umekumbuka kunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili ulionao na unaokusumbua sana Asubuhi hii?
Wewe mtoto McheleMchele acha shobo, Mimi sitafuni mapunga.Unaijua vizuri cv ya kitenge?nyie watoto mnaowekewa bando na shemeji zenu mna tabu sana
Waliopata division zero huenda SAUTDivision Zero yake aliyoipata akiwa Shuleni sasa inafanya Kazi.
Ukishakunywa hivyo Vidonge unatakiwa Ulale mbona bado uko Macho? au umekunywa Kidonge sicho?Una akili ndogo sana..!!!? haya sawa nimekunywa [emoji16][emoji16] we vipi vidonge vyako ulishamaliza Dozi?? Maana unaonekana unazidi kuweuka.[emoji27]
Umemaliza au bado?Waliopata division zero huenda SAUT
Kwani pale Haji alikuwa pekeake? Naamini wale wakina Senzo na Adam Malima walisikia na actuary kwa ile clip lazima Karia kuna sehem nae alikosea hivo siyo mbaya kubalance mambo.Nendeni mkamshtaki. Anayedai kudhalilishwa hajafungua mashtaka na hata kwenye utetezi wake hakuyasema anakuja kuropoka baada ya kuadhibiwa na nyie ngurubangi wake mnadakia tu msichokielewa.
Wewe unaweza Kujibizana na Baba yako Mzazi ( ambaye ni Mamlaka ) kwa Ngazi ya Familia? Haji Manara ni Mtoto na Walace Karia ni Baba ndani ya Familia ya Mpira nchini Tanzania.Kwani pale Haji alikuwa pekeake? Naamini wale wakina Senzo na Adam Malima walisikia na actuary kwa ile clip lazima Karia kuna sehem nae alikosea hivo siyo mbaya kubalance mambo.
Kama alivyoilejea Manara kauli ya Rais wa TFF haikuwa nzuri na ata yeye Manara ulimsikia kuwa ata kuitamka na nzito na isitoshe alishaona kama yameisha maama kama walishaongea ila kuna wakati inafika naye anasema liwalo na liwe.
Huu utetezi wako huwezi kukubalika Mahakamani kama ikithibitishwa kama Karia alitoa ile Kauri! Kwaiyo ata Karia angempiga jiwe Haji basi Haji akae tu kisa mtu mzima? ShwainWewe unaweza Kujibizana na Baba yako Mzazi ( ambaye ni Mamlaka ) kwa Ngazi ya Familia? Haji Manara ni Mtoto na Walace Karia ni Baba ndani ya Familia ya Mpira nchini Tanzania.
Huwa mnafeli wapi Kuyaelewa Mambo madogo tu na mepesi kama haya ( hili ) na yasiyohitaji muda mwingi au Akili nyingi kuyajua Kimantiki?
Mama pumzisha kizazi tu, unatumika mno...akili zote umepeleka matakoni, kichwani uko Empty.Ukishakunywa hivyo Vidonge unatakiwa Ulale mbona bado uko Macho? au umekunywa Kidonge sicho?