WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Akili ndogo huyo...Huu utetezi wako huwezi kukubalika Mahakamani kama ikithibitishwa kama Karia alitoa ile Kauri! Kwaiyo ata Karia angempiga jiwe Haji basi Haji akae tu kisa mtu mzima? Shwain
Imbecile.Huu utetezi wako huwezi kukubalika Mahakamani kama ikithibitishwa kama Karia alitoa ile Kauri! Kwaiyo ata Karia angempiga jiwe Haji basi Haji akae tu kisa mtu mzima? Shwain
Cc: Cookie, Moderator, Active and JamiiForums Founder Maxence MeloMama pumzisha kizazi tu, unatumika mno...akili zote umepeleka matakoni, kichwani uko Empty.
Hawa vinyesi wameufakamia ule uwongo wote aliotapika zeruzeru wameufanya ndiyo rejea.Huu ujinga wenu wa copy & paste bila kujua maana ya kilichoandikwa mtauacha lini?
Manasema vipi Manara alitakiwa kushtakiwa na Karia personally kwa kupelekwa polisi wakati lile tukio lilitokea kwenye mechi ya mpira wa miguu, ambao Karia ndie boss wake hapa Tanzania?
Kama mnataka Karia akamfungulie Manara mashtaka mahakama za kawaida, sharti lile tukio lingekuwa limetokea mtaani, na sio uwanjani, hapo ndio mngesema "Karia kama mtu wa kawaida"
Mwambieni huyo bush lawyer wenu afanye marekebisho ya hiyo hoja yake "fake" hapo.
...malizia na Mikia FC kwako ndiyo timu bora kabisa kuwahi kutokea.Jemedari kwangu ndyo chambuzi bora kabsa kuwahi kutokea
Acha upumbavu unadhani GSM ni wajinga kumwaga hela haya tuambie na walio kwenye payroll ya Mo wewe popomaKitenge ( EFM ), Abisai Steven na Omary Majani ( EA Radio ), Yusuf Mkule na Paul Mkai ( Wasafi FM ), Yahaya Njenge na Privaldinho ( Clouds FM ) wapo katika 'Payroll' ya GSM kupitia Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said.
kesi ya Barbara ilipelekwa police na tukio lilitokea uwanjani au umesahauHuu ujinga wenu wa copy & paste bila kujua maana ya kilichoandikwa mtauacha lini?
Manasema vipi Manara alitakiwa kushtakiwa na Karia personally kwa kupelekwa polisi wakati lile tukio lilitokea kwenye mechi ya mpira wa miguu, ambao Karia ndie boss wake hapa Tanzania?
Kama mnataka Karia akamfungulie Manara mashtaka mahakama za kawaida, sharti lile tukio lingekuwa limetokea mtaani, na sio uwanjani, hapo ndio mngesema "Karia kama mtu wa kawaida"
Mwambieni huyo bush lawyer wenu afanye marekebisho ya hiyo hoja yake "fake" hapo.
Mwambieni albino aende police kuripoti kutukanwa na Karia,simple.kesi ya Barbara ilipelekwa police na tukio lilitokea uwanjani au umesahau
Both of them are Nitwits naturally and they are partners in Foolishness. Very unfortunate that you never knew this Chief.Yaani Maulidi kitenge alihama kwenye utangazaji akataka kuwa wakili wa Manara bila kujua kuwa anayemtetea ameshachafuka.
uko sawa kabisa mkuu huu ni mjadala wa wake wenzaUchambuzi wa humu Ni Kama wa mke mdogo na mkubwa kila mtu anamshambulia au kumsapoti mume ,kulingana siyo na fact Bali ugomvi wao ktk ukewenza
Nimeeleweka