kwanini the most dirty minded people huwa na sura zisizo na hatia

Marcy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
3,134
Reaction score
7,573
hawa watu wanaweza ongea neno ukajiuliza mara mbilimbili ni yeye au limetoka kwenye kinywa cha mtu mwingine mtazame sura sasa so innocent lazima atawaacha midomo wazi na kushikilia mbavu

Akili zao na sura zao zisizo na hatia huwa havishabihani hata kidogo

pia ni hatari zaidi kwenye kufanya matukio na usiwagundue sura zao zinawalinda na hata ukiambiwa ni yeye kafanya huwezi amini

wenye innocent face mje mtuambie kwann huwa mna akili mning’inizo
 
Hiyo inatokana na kwenye vichwa vyetu tayari huwa na muonekano wa watu wazuri ama wabaya tuliorithishwa na vizazi vilivyotangulia.

Fikiria unakutana na Wasirra unaambiwa ni mtu mwema na Jakaya ni mtu mbaya... Wewe utaamuaje kama wote huwajui?
 
Me Niliwahi piga nyeto kwa Godoro eary ujanani.!

Vile sijui matokeo.! 🤭

Ila Kuna mwamba the snicker aliona mchezo na akaona vema kusanua.!?

Uwezi amini nilitoka innocent kwa gemu yake.! maybe the title is the issue 🤗
 
hawa watu wanaweza ongea neno ukajiuliza mara mbilimbili ni yeye au limetoka kwenye kinywa cha mtu mwingine mtazame sura sasa so innocent lazima atawaacha midomo wazi na kushikilia mbavu

Akili zao na sura zao zisizo na hatia huwa havishabihani hata kidogo

pia ni hatari zaidi kwenye kufanya matukio na usiwagundue sura zao zinawalinda na hata ukiambiwa ni yeye kafanya huwezi amini

wenye innocent face mje mtuambie kwann huwa mna akili mning’inizo
Smooth criminal by Michael Jackson.
 
Back
Top Bottom