jibu unalo mwenyewe🤣🤣🤣Hiyo inatokana na kwenye vichwa vyetu tayari huwa na muonekano wa watu wazuri ama wabaya tuliorithishwa na vizazi vilivyotangulia.
Fikiria unakutana na Wasirra unaambiwa ni mtu mwema na Jakaya ni mtu mbaya... Wewe utaamuaje kama wote huwajui?
Una mitusi ya rejarejaujinga wangu upo wapi hapo ewe mjinga mwenzangu😂😂
Mimi nina sura gani mahi ebu sema lolo 🥰nusu au robo 3 watasema wana innocent face😎, ngoja tuwasubiri JF fata mkumbo
unachoshwa na lipi baba mtakatifu jf umefuata nn si uende vaticani ukapumzikeSi kila uzi lazima nichangie bhn sometymes mnatuchosha. Ila kiufupi ni kwamba asilimia kubwa ya hao baby face huwa hawaogopi kuongea matusi kwa kisingizio kuwa wamesoma sayansi
Nimeshatoa maoni mkuu hujaonaunachoshwa na lipi baba mtakatifu jf umefuata nn si uende vaticani ukapumzike
Smooth criminal by Michael Jackson.hawa watu wanaweza ongea neno ukajiuliza mara mbilimbili ni yeye au limetoka kwenye kinywa cha mtu mwingine mtazame sura sasa so innocent lazima atawaacha midomo wazi na kushikilia mbavu
Akili zao na sura zao zisizo na hatia huwa havishabihani hata kidogo
pia ni hatari zaidi kwenye kufanya matukio na usiwagundue sura zao zinawalinda na hata ukiambiwa ni yeye kafanya huwezi amini
wenye innocent face mje mtuambie kwann huwa mna akili mning’inizo
... SINEMA(Movies) tunazoangalia nazo zinachangia sana! 😅Hiyo inatokana na kwenye vichwa vyetu tayari huwa na muonekano wa watu wazuri ama wabaya tuliorithishwa na vizazi vilivyotangulia.
Fikiria unakutana na Wasirra unaambiwa ni mtu mwema na Jakaya ni mtu mbaya... Wewe utaamuaje kama wote huwajui?