Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 4,177
- 4,887
Usafiri wa mabasi ya mwendokasi upo taabani yawezekana Kuna wizi uliyokithiri na hii ndio huluka ya watanzania na kama ni wizi basi upo katika ukutishaji wa ticket
Ukienda kukata ticket unalikuta libaba ndio kinakatisha ticket uwaga najiuliza hivi kweli libaba kama hili mshahara pekee wa hapa unamtosha kuendesha familia yake au Kuna upigaji
Kama Kuna upigaji basi una baraka zote za serikali kwanini wakusanye pesa kupitia vitabu vya ticket badala ya mitandao
Vipi kama Kuna vitabu vya ticket vinapitishwa Kwa njia za Panya na kufika katika madirisha ya kukatia ticket baadae watu wanawagana mapato?
Kwanini zisipewe tenda Bank ambazo Zina mawakala Kila Kona mtu unaenda Kwa wakala unanunua ticket yako ukifika getini wanaiscani tu unaingia ndani?
Hivi kweli waliopewa zamana kusimamia hu mradi ndio vilaza kiasi hicho