Kwanini tiger hawapatikani Afrika?

Hawana passport na kuogelea kutoka Asia hadi Africa hawawezi
 
HILI NALO MKALITAZAME ili angalau na sisi Tanganyika tupatemo tigers.

Nawaagiza akina mwigulu na wenzake wakaliangalie hili ili tujue "tunakwenda vipi"
 
Ndiyo mkuu sasa namjua!
Naona kwa kiswahili anaitwa Kamendegere,
Anafanana na kangaroo mdogo au sungura pia.

Pia naona atakuwa na nyama tamu sana.
Haswaaa ndio huyo mkuu nafikiri mwamba alikua anamchanganya na kangaroo pia wapo wakubwa inategemea na jamii zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…