black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
😂😂Hawapendi majungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Hawapendi majungu
Nadhani hali ya hewa ya Africa
Sehemu nyingi ni joto.
Tiger 🐯 wanapendelea baridi
Cheetah = DumaKuna Tiger, Duma, Cheetah, Leopard na Panther wote hawa ni aina ya chui.
Cheetah ni mwembamba kiumbo, ukimuangalia sehemu ya macho inakuwa kama anatokwa machozi.
Huyu ni Duma
View attachment 3034480
Kuna Tiger, Duma, Cheetah, Leopard na Panther wote hawa ni aina ya chui.
Cheetah ni mwembamba kiumbo, ukimuangalia sehemu ya macho inakuwa kama anatokwa machozi.
Huyu ni Duma
View attachment 3034480
Heshima yako mkuu, sikumjua huyo mnyama kabla.Wewe una semea springhaas na sio kangaroo ,wanafanana na kangaroo kabisa sema hawana vifuko vya watoto.
Sasa umemjua mkuu?Heshima yako mkuu, sikumjua huyo mnyama kabla.
Ndiyo mkuu sasa namjua!Sasa umemjua mkuu?
Haswaaa ndio huyo mkuu nafikiri mwamba alikua anamchanganya na kangaroo pia wapo wakubwa inategemea na jamii zao.Ndiyo mkuu sasa namjua!
Naona kwa kiswahili anaitwa Kamendegere,
Anafanana na kangaroo mdogo au sungura pia.
Pia naona atakuwa na nyama tamu sana.
Na viongozi ambao wakikosolewa wanaua na kulisha fisi.Hawapend viongoz wabinafsi na wenye majib ya ovyo wakihojiwa
India kuna baridi(?)