Kwanini Tigo/ Yas mnachukua salio langu la GB zilizobaki na wakati nimelipia?

Kwanini Tigo/ Yas mnachukua salio langu la GB zilizobaki na wakati nimelipia?

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Mimi ni mteja wa zamani tigo na sasa Yas wa Post Paid. Malipo Baada. Nalipia GB kadha kwa mwezi na kuna kipindi huwa zinabaki. Kwa nini unapoingia mwezi mpya mnafuta GBs zangu ambazo nlishalipia badala ya kuongezea pale pale?

Nadhani hapo mnakuwa mnafanya wizi. Nimelipia zote so inapaswa kama zitabaki ziwe carried kuendelea mwezi mwingine na si kuondoa. Naombeni mrekebishe jambo hili kabla hatujafikishana mbali.
 
Sisi wa pre paid kilio chetu ikibaki mb 50 imekula kwako internet haifanyi kazi, sasa wawe wawazi wasiseme wanatuuzia Gb 1 bali waseme wanatuuzia mb 950.
 
Back
Top Bottom