William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kumpa simba Matola na Cadema ata kwa siku 3 ni ujanja ujanja tu.
Kama mgunda akipewa timu mechi ya kwanza tu atafanya wonderful na na Mo atamuelewa hivyo viongozi kukosa upigaji mwingine ws kutosha kupitia.
1. Kugawana posho na marupurupu na kocha huyo.
2. Kupiga dili kupata sehemu ya nyumba ya kupanga kwa kocha wa kigeni kwa mamilioni ya pesa.
3. Kama mo Anapenda ela zake. Wampe hadhi Mgunda. Wampe nafasi. Wampe posho na marupurupu kama wageni. Gari na wakae wasubiri matokeo.
Tumewapa wageni hasa wazungu fedha nyingi sana awali. Mfano tumechukua kipa wa billion 3. Kisa mwarabu na Kocha yupo tu hana ushauri kabisa. Tumewapa Hadhi kubwa lakini hakuna tunachopata. Wamekosea mara nyingi please mjaribuni Mgunda.
Matola hawezi kuongoza simba. Simba ni kubwa mno kwake.
Mkishindwa basi mpeni timu kocha wa Asec Tu. Ila mgunda ndie kipenzi chetu kwa sasa