Kwanini Timu Mbalimbali hazivutiwi kuja Dar kushiriki Simba Day?

Simba day ni simba vs Tp mazembe
 
Haha hongera sana mkuu ..
 
Simba day ni simba vs Tp mazembe
Wamerudi kuwaomba TP Mazembe tena. This time around wamewekewa sharia ya kugharamiwa kila kitu kuanzia safari, kambi, hotel na kila kitu. Yaan TP Mazembe hawakutaka kabisa kutumia hata sh 10/= yao.
 
mkuu with all respect nadiriki kuamini una uwelewa mdogo sana. kwani zanako walitumia hela yao kiasi gani walipokuja kucheza na yanga kwenye lile tamasha la wiki ya mwananchi?
 
Wamerudi kuwaomba TP Mazembe tena. This time around wamewekewa sharia ya kugharamiwa kila kitu kuanzia safari, kambi, hotel na kila kitu. Yaan TP Mazembe hawakutaka kabisa kutumia hata sh 10/= yao.

Umeamua kubold kabisa.Simba kugharimia ni kitu cha kawaida sana,btw Wakubwa wanacheza na Wakubwa wenzao.Yani ni hivi Team zilizo kwa Top 15 kwa CAF ranking ndiyo zinakubaliana kucheza Friendly mechi,Nendeni nyinyi Utopolo mkawaombe TP Mazembe kama watakubali.
 
Soma hiyo
 
Wamerudi kuwaomba TP Mazembe tena. This time around wamewekewa sharia ya kugharamiwa kila kitu kuanzia safari, kambi, hotel na kila kitu. Yaan TP Mazembe hawakutaka kabisa kutumia hata sh 10/= yao.
Na mbaya zaidi wanaleta kikosi b
 
Si tulikubaliana hatuombi mechi na "wacheza sebene"
 
Kumbe majibu unayo
 
Yaaani nasikia mlipokuwa mkiwatumia barua za mualiko wao wanajibu kwa sentensi moja tu iliyo andikwa "Usiforce Tufanane".

[emoji23] [emoji23]
Sasa wewe shabiki wa yanga mbona unakua kama unapakwaga wewe?? Klabu kumi bora Africa hazitocheza raundi ya kwanza CAF champions league haya ntajie hao kumi

Ukikosa klabu inayoitwa simba najitoa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…