Kwanini Timu Mbalimbali hazivutiwi kuja Dar kushiriki Simba Day?

Kwanini Timu Mbalimbali hazivutiwi kuja Dar kushiriki Simba Day?

Umeamua kubold kabisa.Simba kugharimia ni kitu cha kawaida sana,btw Wakubwa wanacheza na Wakubwa wenzao.Yani ni hivi Team zilizo kwa Top 15 kwa CAF ranking ndiyo zinakubaliana kucheza Friendly mechi,Nendeni nyinyi Utopolo mkawaombe TP Mazembe kama watakubali.
Hebu leta orodha tuone simba iko top 15.
 
Dah wewe mwanaume una shida hata na jinsi ya kufikiria sijaona kosa hapo hebu focus na Yanga y'ako bila hivo utapata vidonda vya tumbo bure kisa Simba, maisha mafupi hivi kuweka mambo yasiyo kuhusu moyoni.
Amekwambia nani mimi ni Yanga? Mimi simba Dam-Dam.
 
Unaona wewe utaputapu ulivo njiwa nimesema klabu kumia ambazo hazitocheza raundi ya kwanza ushademka kwenye ranking haya basi kwenye ranking top 15 tupo sisi haya wewe upo wap?

Utamuwez huyu Utopolo,hapo kwa Top 15 hajibu
 
Si tulikubaliana hatuombi mechi na "wacheza sebene"
Hahaha

Tatizo waarabu wamewatolea nje...

Waarabu walikuwa wanataka kulipwa bonus pia kwasababu wanajua uwepo wao ni wa kibiashara Zaidi.

Simba wakashindwa kuwapa USD 100,000.

Kama nilivyo wataarifu hapo awali kuwa ni lazima warudi huku sub-sahara.
 
Zanaco Ya Kap*mb* Walikuja Haraka Kujipigia Yanga
Simba Ni Next Level
Wahuni Yanga Watulie
 
mkuu with all respect nadiriki kuamini una uwelewa mdogo sana. kwani zanako walitumia hela yao kiasi gani walipokuja kucheza na yanga kwenye lile tamasha la wiki ya mwananchi?
Nilikuwa nazungumza na Arafat juzi hapa (sina uhakika kama uelewa wako ni mkubwa hata kumfahamu Huyo).

Yanga walituma maomba ya mualiko na sio maombi ya ushiriki.

Hivyo haikuwalazimu yanga kugharamia kwa sababu hata wao Zanaco walihitaji hii changamoto ili kujiweka sawa kuelekea kwenye pre-liminary rounds.
 
Hebu leta orodha tuone simba iko top 15.

IMG_2405.png

hapo hapo ulipokimbila ku google mbona hukuleta na hii
 
Amekwambia nani mimi ni Yanga? Mimi simba Dam-Dam.
Simba hatuna watu bitter na negative ka wewe team manara with too much negativity and depression mwaka huu mlambe ndimu za kutosha
 
Back
Top Bottom