Kwanini timu za Tanzania zote mbili zinashika mkia kwenye makundi Yao ya CAF champions league

Kwanini timu za Tanzania zote mbili zinashika mkia kwenye makundi Yao ya CAF champions league

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
 
Ni kwa sababu mpira una matokeo matatu, kushinda, kufungwa na kutoa suruhu pia usisahau hata timu mnayocheza nayo wao pia wanataka moja katika hivyo vitatu.
 
Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?[emoji848] Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
Lengo ni kumfunga mtani hata kwenye kampeni wana jinadi hvyo.
 
Back
Top Bottom