Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
Ni kwa sababu mpira una matokeo matatu, kushinda, kufungwa na kutoa suruhu pia usisahau hata timu mnayocheza nayo wao pia wanataka moja katika hivyo vitatu.
Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?[emoji848] Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.