Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #101
MhhhExactly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MhhhExactly
Kuna baadhi ya watu humu wanadai ya kwamba tozo ni ya dereva na sio chombo cha usafiriKwanin sisi wenye piki piki tunalipishwa faini sawa na wenye magari? Naomba ufafanuzi hapo wakuu..
Tena unalipishwa kama dereva wa Lorry. Hii ni changamoto sana mkuu.Unakuta mimi nina pikipiki ila nalipishwa faini sawa na mwenye gari.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nimeelewa mantiki (logic) yako...Lakini si kweli pia kwamba bajaji aliyebeba abiria akavuka redlight na akagonga na lory ataua watu wengi zaidi ya Lorry la mchanga likivuka redlight na akagongwa na Lorry ambapo mafereva wote wanauwezekano mkubwa wa kupona?