Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 15,892 Reaction score 16,476 Nov 9, 2020 Thread starter #101 FRANCIS DA DON said: Exactly Click to expand... Mhhh
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 15,892 Reaction score 16,476 Nov 19, 2020 Thread starter #102 Ollachuga Oc said: Kwanin sisi wenye piki piki tunalipishwa faini sawa na wenye magari? Naomba ufafanuzi hapo wakuu.. Click to expand... Kuna baadhi ya watu humu wanadai ya kwamba tozo ni ya dereva na sio chombo cha usafiri
Ollachuga Oc said: Kwanin sisi wenye piki piki tunalipishwa faini sawa na wenye magari? Naomba ufafanuzi hapo wakuu.. Click to expand... Kuna baadhi ya watu humu wanadai ya kwamba tozo ni ya dereva na sio chombo cha usafiri
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,569 Reaction score 24,812 Nov 19, 2020 #103 Unakuta mimi nina pikipiki ila nalipishwa faini sawa na mwenye gari. Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Unakuta mimi nina pikipiki ila nalipishwa faini sawa na mwenye gari. Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 15,892 Reaction score 16,476 Nov 22, 2020 Thread starter #104 Ollachuga Oc said: Unakuta mimi nina pikipiki ila nalipishwa faini sawa na mwenye gari. Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app Click to expand... Tena unalipishwa kama dereva wa Lorry. Hii ni changamoto sana mkuu.
Ollachuga Oc said: Unakuta mimi nina pikipiki ila nalipishwa faini sawa na mwenye gari. Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app Click to expand... Tena unalipishwa kama dereva wa Lorry. Hii ni changamoto sana mkuu.
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 15,892 Reaction score 16,476 Nov 23, 2020 Thread starter #105 FRANCIS DA DON said: Lakini si kweli pia kwamba bajaji aliyebeba abiria akavuka redlight na akagonga na lory ataua watu wengi zaidi ya Lorry la mchanga likivuka redlight na akagongwa na Lorry ambapo mafereva wote wanauwezekano mkubwa wa kupona? Click to expand... Nimeelewa mantiki (logic) yako...
FRANCIS DA DON said: Lakini si kweli pia kwamba bajaji aliyebeba abiria akavuka redlight na akagonga na lory ataua watu wengi zaidi ya Lorry la mchanga likivuka redlight na akagongwa na Lorry ambapo mafereva wote wanauwezekano mkubwa wa kupona? Click to expand... Nimeelewa mantiki (logic) yako...