Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Course gani alisomea engineering au teaching?anakomba mpaka million tano kwa mwezi.
Sio lazima kuanzisha nyuzi JF kila siku, hakuna mashindano humu, non senseYani kuna ugumu gani wa kazi kwenye hili shirika? Maana anayeanza kazi tu anakomba mpaka million tano kwa mwezi. Ni mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu.
Inamana kazi yao inaendana na kiwango cha mshahara? Dogo kaingizwa juzi tu kimagumashi hana hata miaka mitatu tayari kashusha Prado mpya zero kilometer pale Port. Nishauri serikali siyo nawaonea donge, ila wajaribu kupunguza hiki kiwango, haiwezekani mshahara wa mwalimu yeye anapiga kwa siku moja tu.
Nataka kujua kwa lipi hasa mpaka wapewe pesa ndefu kiasi hiki, yani unakaa miaka mitano tu kazini tayari salary slip inasoma million nane [emoji849].
View attachment 2443725
Mfano MengiWenzenu wakati wanasoma vitu vigumu kama petroleum engineering e.tc mlikuwa mnawasema vibaya ati wanasoma kama wametumwa na kijiji
Leo wanapokea pesa ndefu mnawaonea dongo
Hhhahaha mwalimu analipwa laki Tatu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu kwa nini usiombe walimu wapandishiwe mshahara angalau wakaribie huo wa TPDC, maana unaweza kukuta hao TPDC ndo wanaolipwa mashahara huku walimu wakilipwa kitu kinachofanana na mshahara.
Petroleum engineering ni ngumu kuliko civilWenzenu wakati wanasoma vitu vigumu kama petroleum engineering e.tc mlikuwa mnawasema vibaya ati wanasoma kama wametumwa na kijiji
Leo wanapokea pesa ndefu mnawaonea dongo
Kwani mimi huwa naamn ktk maneno bila kuona salary slip yenye jina lakeHuyo ndugu yako kakudanganya. Hakuna mshahara wa hivyo.
Wacha weesio lazima kuanzisha nyuzi JF kila siku,hakuna mashindano humu,non sense
PetroleumCourse gani alisomea engineering au teaching?
Acha aendelee kula maisha waliosomea hizo kazi za Petroleum ni wachache mno kuliko lundo la walimu waliozagaa karume kuuza mitumba maana ajira hakuna,Petroleum
Ndo hapo sasa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenzenu wakati wanasoma vitu vigumu kama petroleum engineering e.tc mlikuwa mnawasema vibaya ati wanasoma kama wametumwa na kijiji
Leo wanapokea pesa ndefu mnawaonea dongo
Walimu acha wasote tuAcha aendelee kula maisha waliosomea hizo kazi za Petroleum ni wachache mno kuliko lundo la walimu waliozagaa karume kuuza mitumba maana ajira hakuna,
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ndo hapo sasa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa kaparareRoho mbaya sio Mtaji. Unajua risk ya kukaa kwenye Mionzi. Tunateseka Sana brother acha Kusema tu mshahara tambua kwanza ugumu wa kazi tunayofanya. Halafu hiyo milioni tano ni ndogo Sana. Ya Kawaida mno ni kwa vile tu hauna.