Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

yuko sawa mimi nimejenga sitting room with open kitchen na master room imekamilika kabisa vioo tiles imecost 15 m wazee muache kubeza kila kitu hapo tu mapinga mkitaka kupaona nitafuteni
Inawezekanaje mtu anasema yeye huwa ni foremen wa ujenzi wa nyumba kila siku..ingawa anabisha million 36 hujengii nyumba
 
Huwoo ni wivuu..

Uchawi ulianza hivihivi..

Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
 
yuko sawa mimi nimejenga sitting room with open kitchen na master room imekamilika kabisa vioo tiles imecost 15 m wazee muache kubeza kila kitu hapo tu mapinga mkitaka kupaona nitafuteni
Hicho kibanda cha m15 napo unapaita nyumba unaweza hatankupokea wageni wawili wakawa comfortable unaweza weka mke watoto na msaidizi hapo hilo si sawa na banda la mbuzi tu tena kule milima ya upareni😂😂😂😂😂
 
Huwoo ni wivuu..

Uchawi ulianza hivihivi..

Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
Hii mishahara si mikubwa, hususan kwa CEO wa kampuni ya mafuta. Basi nchi yetu tu uchumi mdogo. Tunalipana kimasikini.

That's just over $15,000 a month.

I make that much (in the US), take home after taxes, halafu mimi wala si CEO wala nini, ni technocrat tu.

Tena Muafrika fulani tu ambaye hajapewa kazi kwa kujuana na watu wala uteuzi wa rais. Competence, experience na education tu. Tena working from home, sijakanyaga ofisini naelekea mwaka wa tatu huu.

Kuna binti mmoja mbongo nurse kipindi hiki cha pandemic walikuwa wanapiga mpaka $8,000 kwa wiki.

That means huyo nurse wa US kwenye miaka ya pandemic hii aliweza kupiga mara mbili ya huyo CEO wa Tanzania kwa mwezi.
 
Mkurugenzj wa TPDC miaka kadhaa iliyopita ilikuwa wanakunja hadi million 36 per month...yan kila mwezi kuna uwezekano wa kujenga nyumba kali ya standard
Mkurugenzi ampite mshahara rais ,waziri husika na karibu husika can't be serious!!!
 
Wewe ulifanya kazi position na department ipi TPDC?
Unatushauri nini vijana tunaotaka kuingia TPDC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…