Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

Mkurugenzj wa TPDC miaka kadhaa iliyopita ilikuwa wanakunja hadi million 36 per month...yan kila mwezi kuna uwezekano wa kujenga nyumba kali ya standard
M36 unaweza jenga nyumba ila sio nyumba unayotaka kutuaminisha labda umeskia stori tu acha ubwege mimi ninasimamia ujenzi wa nyumba unayosema ya partition ila mpka now imebakiza finishing ishakula 40m labda unambie serikali ndio inajenga na kwa standard za serikali za uwizi uwizi mbali na hapo usidanganye umati kwa stor za vijiweni
 
Yani kuna ugumu gani wa kazi kwenye hili shirika? Maana anayeanza kazi tu anakomba mpaka million tano kwa mwezi. Ni mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu.

Ina maana kazi yao inaendana na kiwango cha mshahara? Dogo kaingizwa juzi tu kimagumashi hana hata miaka mitatu tayari kashusha Prado mpya zero kilometer pale Port. Nishauri serikali siyo nawaonea donge, ila wajaribu kupunguza hiki kiwango, haiwezekani mshahara wa mwalimu yeye anapiga kwa siku moja tu.

Nataka kujua kwa lipi hasa mpaka wapewe pesa ndefu kiasi hiki, yaani unakaa miaka mitano tu kazini tayari salary slip inasoma million nane [emoji849].

View attachment 2443725
acha unoko'kila m2 na bahati yake
 
Kuna madereva wa hazina wao per diem kwa siku ni laki tatu unachota tu unakuta safari ya siku 90 unalipwa cash... hahahahahaha ndio maisha sasa jiulize madereva wale wa site na hawa wa lami 24 hrs tofauti nayo...

Usiangalie ukubwa wa kazi ishu ni kwamba taasisi yenyewe tu inajipangia mishahara na ni baraka toka kwa wakubwa
Kaka Huu Uongo, Per diem ya Laki Tatu? Dereva?
 
M36 unaweza jenga nyumba ila io nyumba unayotaka kutuaminisha labda umeskia stori tu acha ubwege mimi ninasimamia ujenzi wa nyumba unayosema ya partition ila mpka now imebakiza finishing ishakula 40m labda unambie serikali ndio inajenga na kwa standard za serikali za uwizi uwizi mbali na hapo usidanganye umati kwa stor za vijiweni
Ahsante kwa kumpa elimu bwege
 
Nilishatoka hapo Mkuu japo nina connection na Senior Staff wengi wa pale,kimsingi ni panono ndio maana kuna staff wawili Frola Salakana na Braison Kunyalanyala walihamishwa pale kwenda Idara nyingine za Serikali,kwa kuona kwamba pale wametolewa kwenye mrija wa Asali walikataa kwenda kuripoti huko walikohamishiwa wakafungua mpaka Kesi CMI[emoji1787][emoji1787]sijui hata Kesi yao iliishiaga wapi lakini waligoma kuhama wakawa wanakaa nyumbani tu,hatari sana
Kipindi Cha Jiwe Nini? [emoji3], Maana Ndio Alileta Hizo
 
M36 unaweza jenga nyumba ila sio nyumba unayotaka kutuaminisha labda umeskia stori tu acha ubwege mimi ninasimamia ujenzi wa nyumba unayosema ya partition ila mpka now imebakiza finishing ishakula 40m labda unambie serikali ndio inajenga na kwa standard za serikali za uwizi uwizi mbali na hapo usidanganye umati kwa stor za vijiweni
yuko sawa mimi nimejenga sitting room with open kitchen na master room imekamilika kabisa vioo tiles imecost 15 m wazee muache kubeza kila kitu hapo tu mapinga mkitaka kupaona nitafuteni
 
Kwanini kila ukitaja mshahara lazima umtaje mwalimu? Tena humtaji kwa mazuri.

Najua unahisi unawasemea vizuri kwa serikali lakini unachokifanya ni kuwadhalilisha tu.

Siku moja jaribu hata siku moja kumsifia mwalimu angalau kwamba amefanya kazi nzuri mpaka kuna watu wanalipwa 5 mil. kwaajili yake.
 
Acha kutuonea wivu yaani tuhangaike na masomo magumu magumu tupewe mshahara mnono ulalamike, kama unaona kusomea petroleum ni rahisi kasome na wewe.
Ulikimbilia masomo ya kusoma ukiwa kitandani umejilaza unataka tulipwe sawa? Acha wivu wewe
Tpdc wanaajiri hadi hao unaosema wamesomea kitandani eg Human resources officers, Public administration,etc Tpdc haiwezi kwenda bila kuwepo department of human resources, hata eng.mataragio na Eng musomba wanalijua hilo.
 
Back
Top Bottom