Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #221
HakunaMmmh kuna taasisi wanalipa vzuri zaidi ya TPDC??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakunaMmmh kuna taasisi wanalipa vzuri zaidi ya TPDC??
Hiyo pesa ndogo sana labda banda la kukuMkuu, milioni 36 unajenga nyumba kali ya standard?
Standard gani na wapi?
M36 unaweza jenga nyumba ila sio nyumba unayotaka kutuaminisha labda umeskia stori tu acha ubwege mimi ninasimamia ujenzi wa nyumba unayosema ya partition ila mpka now imebakiza finishing ishakula 40m labda unambie serikali ndio inajenga na kwa standard za serikali za uwizi uwizi mbali na hapo usidanganye umati kwa stor za vijiweniMkurugenzj wa TPDC miaka kadhaa iliyopita ilikuwa wanakunja hadi million 36 per month...yan kila mwezi kuna uwezekano wa kujenga nyumba kali ya standard
Tena ukicheza vibaya hata banda lenyewe hulimalizi kuku wakaingia lazima uongeze kama 6m tena ndo uweze kuweka kukuHiyo pesa ndogo sana labda banda la kuku
acha unoko'kila m2 na bahati yakeYani kuna ugumu gani wa kazi kwenye hili shirika? Maana anayeanza kazi tu anakomba mpaka million tano kwa mwezi. Ni mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu.
Ina maana kazi yao inaendana na kiwango cha mshahara? Dogo kaingizwa juzi tu kimagumashi hana hata miaka mitatu tayari kashusha Prado mpya zero kilometer pale Port. Nishauri serikali siyo nawaonea donge, ila wajaribu kupunguza hiki kiwango, haiwezekani mshahara wa mwalimu yeye anapiga kwa siku moja tu.
Nataka kujua kwa lipi hasa mpaka wapewe pesa ndefu kiasi hiki, yaani unakaa miaka mitano tu kazini tayari salary slip inasoma million nane [emoji849].
View attachment 2443725
Kaka Huu Uongo, Per diem ya Laki Tatu? Dereva?Kuna madereva wa hazina wao per diem kwa siku ni laki tatu unachota tu unakuta safari ya siku 90 unalipwa cash... hahahahahaha ndio maisha sasa jiulize madereva wale wa site na hawa wa lami 24 hrs tofauti nayo...
Usiangalie ukubwa wa kazi ishu ni kwamba taasisi yenyewe tu inajipangia mishahara na ni baraka toka kwa wakubwa
Na Unyeti Wa Taasisi Mkuuila mishahara ya Tanzania inatakiwa kufanyiwa review watu wote mna degree moja mfano accounts ya halmashauli analipwa kidogo wa TRA au Bot au TCRA anampita mara kumi hii sio sawa wakati nature ya kazi ni moja
Ahsante kwa kumpa elimu bwegeM36 unaweza jenga nyumba ila io nyumba unayotaka kutuaminisha labda umeskia stori tu acha ubwege mimi ninasimamia ujenzi wa nyumba unayosema ya partition ila mpka now imebakiza finishing ishakula 40m labda unambie serikali ndio inajenga na kwa standard za serikali za uwizi uwizi mbali na hapo usidanganye umati kwa stor za vijiweni
Yaani Utoke Halmashauri Uhamie TRA? [emoji3]sasa ndio review ifanyike kaka ni mtazamo wangu halafu hayo mashirika ukitaka kuamia wana mizengwe hatari kama mishahara wanatoa mifukoni mwao
standard ya kawaida kabisaWapi? Mkuu itabidi nikutafute tuongee vizuri.
Ila wasiwasi wangu ni kuwa unaongelea nyumba za wapi? Inabidi tujue tukiongelea standard tunaongelea standard gani.
Ukweli kabisa kaka hasa wale wa bank kuu wanaotembea na msafara wa rais..Kaka Huu Uongo, Per diem ya Laki Tatu? Dereva?
Kipindi Cha Jiwe Nini? [emoji3], Maana Ndio Alileta HizoNilishatoka hapo Mkuu japo nina connection na Senior Staff wengi wa pale,kimsingi ni panono ndio maana kuna staff wawili Frola Salakana na Braison Kunyalanyala walihamishwa pale kwenda Idara nyingine za Serikali,kwa kuona kwamba pale wametolewa kwenye mrija wa Asali walikataa kwenda kuripoti huko walikohamishiwa wakafungua mpaka Kesi CMI[emoji1787][emoji1787]sijui hata Kesi yao iliishiaga wapi lakini waligoma kuhama wakawa wanakaa nyumbani tu,hatari sana
Wao siwalikuwa wanabakizwa tu..Ni lini walikuwa wanaangalia GPA? Kwani mtu aliyepata G.P.A ya 4-5 hawafanyi interview?
yuko sawa mimi nimejenga sitting room with open kitchen na master room imekamilika kabisa vioo tiles imecost 15 m wazee muache kubeza kila kitu hapo tu mapinga mkitaka kupaona nitafuteniM36 unaweza jenga nyumba ila sio nyumba unayotaka kutuaminisha labda umeskia stori tu acha ubwege mimi ninasimamia ujenzi wa nyumba unayosema ya partition ila mpka now imebakiza finishing ishakula 40m labda unambie serikali ndio inajenga na kwa standard za serikali za uwizi uwizi mbali na hapo usidanganye umati kwa stor za vijiweni
Mkuu inawezekana kbsa kujenga kwa milioni 36 Kama una kiwanjaMkuu, milioni 36 unajenga nyumba kali ya standard?
Standard gani na wapi?
Tpdc wanaajiri hadi hao unaosema wamesomea kitandani eg Human resources officers, Public administration,etc Tpdc haiwezi kwenda bila kuwepo department of human resources, hata eng.mataragio na Eng musomba wanalijua hilo.Acha kutuonea wivu yaani tuhangaike na masomo magumu magumu tupewe mshahara mnono ulalamike, kama unaona kusomea petroleum ni rahisi kasome na wewe.
Ulikimbilia masomo ya kusoma ukiwa kitandani umejilaza unataka tulipwe sawa? Acha wivu wewe
HahahhaMangese mnajidai kushtuka nyumba ya Mil 36 wakati mwsho wa mwezi hamuwashi sabufa mnalala mmezima taa landlord asijue kama mpo