Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
TRA tunawatambua mnakusanya kodi. Mifumo imebadilika mkaanzisha mashine zinazotumia mtandao kupata makusanyo siyo kwa kutumia kitabu tena ambayo ni EFD.
Kuwa na TIN ni lazima unapotoa risiti au kununua. Sasa kwa wafanyabiashara wanapofanya manunuzi ya mizigo lazima wapate risiti ya manunuzi kwenye mashine ikiwa na TIN au pamoja VRN.
Mfumo wote wa taarifa ya manunuzi na uuzaji si upo kwenye data base yenu, kwa nini mnatulazimisha kuja na risiti za mauzo wakati data base mnayo, sawa niende ofisi za NIDA waniombe kitambulisho kuniuliza wakati wao ndio wana usajili wa kila kitu.