Hivi kwa nini wasomi wetu hambafiliki ? Hiyo risiti ya kutunza kwa miaka yote ni hii ya efd?, hamjui kuwa kwa wakati huo sheria ilikuwa inaongelea risitti za vitabu ambazo records zake zilikuwa ni ngumu kuzipata ?
Efd device leo hii ukitaka kupata receeipy zote ilizowahi kuandika , unapata , bado wasomi mnakomaa na sheria ambazo tech imeshazianya useless
Sheria unayongelea hapa naami i ilitungwa wakati hakuna efd , na ilitakiwa ifanyiwe mabadiliko baada ya ujio wa efd.
Ni kama vile askari wa barabarani wanavyokomalia sicker ya bima kwenye windscreen ,ilhali sheria ya bima ilishacha kutumia sticker