Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Huyu mwenzetu ni mhenga. Zamani Benki kulikuwa na kitabu kipo kama passport hivi. Kadi zimeanza kutumika miaka hii mdogo wangu AsprinWanaotoa leseni ya udereva ni TRA, sio trafiki, dogo ukiwa mkubwa utaacha utoto...
Benki unatoa kadi ili utoe pesa afu wanakudai kitabu.... Benki gani hiyo ina kitabu cha kutolea hela?? Dogo sogea mjini utoe tongotongo
Afu manunuzi binafsi utawekaje kwenye kitabu cha biashara? Yani ninywe K Vant kwa mangi afu nirudi kwenye pharmacy yangu niweke rekodi ya biashara?
Kwani hizi shule siku hizi mnafundishwa nini?
Hili nalo mkalitazame, au nasema uongo ndugu zangu?
Cc kipenzi Demi