Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
TRA tunawatambua mnakusanya kodi. Mifumo imebadilika mkaanzisha mashine zinazotumia mtandao kupata makusanyo siyo kwa kutumia kitabu tena ambayo ni EFD.
Kuwa na TIN ni lazima unapotoa risiti au kununua. Sasa kwa wafanyabiashara wanapofanya manunuzi ya mizigo lazima wapate risti ya manunuzi kwenye mashine ikiwa na TIN au pamoja VRN.
Mfumo wote wa taarifa ya manunuzi na uuzaji si upo kwenye data base yenu, kwa nini mnatulazimisha kuja na risiti za mauzo wakati data base mnayo, sawa niende ofisi za NIDA waniombe kitambulisho kuniuliza wakati wao ndio wanausajili wakila kitu.

Acha ujinga basi.hata trafiki wanatoa liseni lakini barabarani wakikusimamisha watakuuliza liseni, hata benki wanatoa kadi lakini ukienda toa pesa watakuuliza kitabu, . wewe unaona tabu gani wakiomba risiti? au unataka kwepa nini mbona ni rahisi tu unatunza wakidai unawaonyesha basi. ndiyo nyie mkiambiwa ukaguzi utafanyika mnaanza kelele inaonyesha rekodi huwekagi.umesema nida hawatoi risiti wao ni kitambulisho tu hivo ukiwa na namba haina shida ,hizi unazosema ni risiti zipo nyingi mno. hata wewe tra wakikuuliza tin namba ukitaja wataiona lakini risiti zipo na namba tofauti kuna manunuzi ya matumizi binafsi na matumizi ya kibiashara sasa watajuaje ndiyo maana inabidi uwe nazo mwenyewe .
Ujinga upi mtu anatakiwa apate haki yake ya refund hataki sasa mjinga nani? Hajalazimishwa ila asije lia lia humu ndani.Acha ujinga basi.
Wanaotoa leseni ya udereva ni TRA, sio trafiki, dogo ukiwa mkubwa utaacha utoto...hata trafiki wanatoa liseni lakini barabarani wakikusimamisha watakuuliza liseni, hata benki wanatoa kadi lakini ukienda toa pesa watakuuliza kitabu, . wewe unaona tabu gani wakiomba risiti? au unataka kwepa nini mbona ni rahisi tu unatunza wakidai unawaonyesha basi. ndiyo nyie mkiambiwa ukaguzi utafanyika mnaanza kelele inaonyesha rekodi huwekagi.umesema nida hawatoi risiti wao ni kitambulisho tu hivo ukiwa na namba haina shida ,hizi unazosema ni risiti zipo nyingi mno. hata wewe tra wakikuuliza tin namba ukitaja wataiona lakini risiti zipo na namba tofauti kuna manunuzi ya matumizi binafsi na matumizi ya kibiashara sasa watajuaje ndiyo maana inabidi uwe nazo mwenyewe .
Kuna wenzetu huwa mnapata Tra refundswewe acha kuziweka kwani watakufunga pingu?๐ ๐๐. ila usije tena piga kelele sijui refund hawajakulipa
Dogo mshamba sana wallah... Siku hizi kumbe bado kuna benki ukitoa hela wanakuomba kitabu? Nimekumbuka enzi za benki ya posta nikiwa kijana mbichiAcha ujinga basi.
๐๐๐Sijui yupo vijiji vya Mafinga, msamehe mkuuWanaotoa leseni ya udereva ni TRA, sio trafiki, dogo ukiwa mkubwa utaacha utoto...
Benki unatoa kadi ili utoe pesa afu wanakudai kitabu.... Benki gani hiyo ina kitabu cha kutolea hela?? Dogo sogea mjini utoe tongotongo
Afu manunuzi binafsi utawekaje kwenye kitabu cha biashara? Yani ninywe K Vant kwa mangi afu nirudi kwenye pharmacy yangu niweke rekodi ya biashara?
Kwani hizi shule siku hizi mnafundishwa nini?
Hili nalo mkalitazame, au nasema uongo ndugu zangu?
Cc kipenzi Demi
Dah... afadhali umenifumbua macho. Sikujua bhana...๐๐๐Sijui yupo vijiji vya mafinga msamehe mkuu
Never everKuna wenzetu huwa mnapata Tra refunds
Sasa huyu kaitoa wapNever ever
Kumbe hakuna unalolijua, TRA wanatoa TIN trafiki ndiyo leseni, TRA wao wanaprinti tu kumbe hata hujui unakurupuka eti TRA wanatoa leseni.Wanaotoa leseni ya udereva ni TRA, sio trafiki, dogo ukiwa mkubwa utaacha utoto...
Benki unatoa kadi ili utoe pesa afu wanakudai kitabu.... Benki gani hiyo ina kitabu cha kutolea hela?? Dogo sogea mjini utoe tongotongo
Afu manunuzi binafsi utawekaje kwenye kitabu cha biashara? Yani ninywe K Vant kwa mangi afu nirudi kwenye pharmacy yangu niweke rekodi ya biashara?
Kwani hizi shule siku hizi mnafundishwa nini?
Hili nalo mkalitazame, au nasema uongo ndugu zangu?
Cc kipenzi Demi
toka lini liseni wanatoa tra? liseni wanatoa trafiki acha kujitoa ufahamu.na risiti siyo mpaka ununue kwa bidhaa za kibiashara ndiyo udai .sasa na risiti kuna vat refund utadai vipi kama huna risiti za manunuzi?Wanaotoa leseni ya udereva ni TRA, sio trafiki, dogo ukiwa mkubwa utaacha utoto...
Benki unatoa kadi ili utoe pesa afu wanakudai kitabu.... Benki gani hiyo ina kitabu cha kutolea hela?? Dogo sogea mjini utoe tongotongo
Afu manunuzi binafsi utawekaje kwenye kitabu cha biashara? Yani ninywe K Vant kwa mangi afu nirudi kwenye pharmacy yangu niweke rekodi ya biashara?
Kwani hizi shule siku hizi mnafundishwa nini?
Hili nalo mkalitazame, au nasema uongo ndugu zangu?
Cc kipenzi Demi
Risiti ambazo baada ya muda mfupi zinafutika.hata trafiki wanatoa liseni lakini barabarani wakikusimamisha watakuuliza liseni, hata benki wanatoa kadi lakini ukienda toa pesa watakuuliza kitabu, . wewe unaona tabu gani wakiomba risiti? au unataka kwepa nini mbona ni rahisi tu unatunza wakidai unawaonyesha basi. ndiyo nyie mkiambiwa ukaguzi utafanyika mnaanza kelele inaonyesha rekodi huwekagi.umesema nida hawatoi risiti wao ni kitambulisho tu hivo ukiwa na namba haina shida ,hizi unazosema ni risiti zipo nyingi mno. hata wewe tra wakikuuliza tin namba ukitaja wataiona lakini risiti zipo na namba tofauti kuna manunuzi ya matumizi binafsi na matumizi ya kibiashara sasa watajuaje ndiyo maana inabidi uwe nazo mwenyewe .
Nitaendelea kujidhalilisha kubishana na wewe....kumbe hakuna unalolijua, tra wanatoa TIN trafiki ndiyo liseni ,tra wao wanaprinti tu kumbe hata hujui unakurupuka eti tra wanatoa liseni.
ulichoandika hata hujielewi ndiyo maana nilisema
toka lini liseni wanatoa tra? liseni wanatoa trafiki acha kujitoa ufahamu.na risiti siyo mpaka ununue kwa bidhaa za kibiashara ndiyo udai .sasa na risiti kuna vat refund utadai vipi kama huna risiti za manunuzi?
>>> mwiba unapoingilia ndipo unapotokea
Nitaendelea kujidhalilisha kubishana na wewe....
Endelea na masomo dogo, sio kosa lako.
Kila la kheri