Kwanini TRA mnatulazimisha kuja na risiti za mauzo wakati rekodi zetu mnazo?

Huyu mwenzetu ni mhenga. Zamani Benki kulikuwa na kitabu kipo kama passport hivi. Kadi zimeanza kutumika miaka hii mdogo wangu Asprin
 
sijawahi kuamini suala la risiti eti una kwepa kodi risiti imeongeza idadi ya rushwa sasa hivi ni kama dili mtaani haswa kariakoo mpaka wale tigo wadai risiti hapa serikali ijipange risiti haijaongeza mapato ila imeongeza rushwa maana kila mtu anajifanya TRA
 
Na hata kama risiti zenyewe zipo unakuta hazisomeki [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawanazitaka
 
Taasisi nyingi za kiserikali zinafanya kazi kupitia hardcopy. Mifumo yao ya softcopy ni ziada tuu katika utendaji wao.
 
Hivi kumbe Wenye maduka ya rejareja na wao wanakuwa na mashine za EFD.Hata kama ni wa kijiji mashine n lazima
 
Kama transaction zote zinafanyika kupitia TIN risit za nini? Nani anao huo muda wa kutunza hayo makaratasi zama hizi
 
Kama transaction zote zinafanyika kupitia TIN risit za nini? Nani anao huo muda wa kutunza hayo makaratasi zama hizi
tra wanasema wenye mauzo kuanzia milioni 11 ndiyo wanatakiwa kuwa na hizo mashine haijalishi unafanya reja reja au jumla.
 
sawa kubwa kila la heri nawe na biashara zake
Ila nakung'ata sikio tu. Hata kama umesoma Feza Boys au St. Marians na walimu wakakuheshimu wewe ni kichwa cha kutisha, mwisho wa siku anayekupa cheti cha Ufaulu wa Sekondari ni Baraza la Mitihami la Taifa...

Sasa wewe endelea kukariri leseni inatolewa na trafiki.

Na kama uliwahi kumiliki leseni ya udereva basi utakuwa unanielewa... kwamba unaichukulia wapi, ukienda kurenew unalipia wapi na nani anayekukabidhi...

Najua ukiwa mkubwa utanielewa

Bado hujanijibu swali langu, ni benki gani hiyo ambayo ukienda kutoa hela wanakudai kitabu cha miamala yako????
 
kwa sasa hivi wamekuja na mfumo risiti zinavutwa zenyewe na mfumo juzi nilihudhuria semina pale diamond ndiyo nikajua huo mfumo mpya
 
Ijumaa wiki iliyopita nilishuhudia yupo askari mmoja sijajua hasa ni wa kituo gani ila anazo nyota kadhaa huzunguka kwenye bajaj alimkamata jamaa yangu mmoja wakapatana rushwa akakamata 100K mzigo ukapelekwa transport chini ya escort yake.
 
Asprin unachoshindwa kuelewa hapa ni kuwa liseni inatolewa na jeshi la polisi kupitia kitengo cha usalama barabarani yaani trafic police wao ndiyo wanakufanyia majaribio na kukupa liseni tra wao wanaprinti tu ndiyo maana ukitembelea ofisi za tra utakuta kuna trafiki au watakuambia nenda trafiki kwanza. wewe inaonekana liseni yako uliletewa ndiyo maana hujui nani anayetoa liseni ya udereva.tra wao wanatoa tin tu na kuhusika na kodi.liseni wanaprinti tu
 
Au nikuulize hivi, pamoja na kwamba traffic police ndio hukujaribu na kukupitisha kufuzu udereva.... Leseni ni mali ya nani??? Ile ada ya leseni inaenda polisi au TRA? Na kwenye leseni yako... ambayo wewe unasema TRA wanaprint tu, ina nembo ya jeshi la polisi?
.
Twende Taratibu tuelewane....

Au unataka kuniambia ukisoma masomo ya biashara, ukafuzu afu ukafungua biashara yako leseni unapewa na Chuo ulichosomea?
 

Soma part 4 ya sheria uelewe kwanini unatakiwa kutunza receipt kwa mujibu wa sheria.

Na following parts V and VI madhara yake ukijakufanyiwa auditing kama huna evidence.

Hayo mambo ni muhimu kwenye hesabu za kihasibu; efd is supposed to simply VAT payments but the only evidence.

Shida kubwa ya wafanyabiashara Tanzania ukisoma malalamiko yao ni uelewa mdogo wa maswala ya kihasibu.
 
unajua utachekwa ndugu, kulipia ada ya liseni TRA wamepewa tu jukumu la kukusanya haimaanishi wao ndiyo wanaotoa liseni. sasa kwa nini hushangai polisi wanaposema tumezifuta au fungia liseni kadhaa na siyo tra ? jiongeze kidogo
 
Iwe ni matumiz binafsi au ni ya biashara kwani hiyo pesa TRA walikupa wao? Halafu hizo EFD receipt zinavofutika wadhani zitadumu Hata mwezi sasa mkuu?
 
Hivi kwa nini wasomi wetu hambafiliki ? Hiyo risiti ya kutunza kwa miaka yote ni hii ya efd?, hamjui kuwa kwa wakati huo sheria ilikuwa inaongelea risitti za vitabu ambazo records zake zilikuwa ni ngumu kuzipata ?
Efd device leo hii ukitaka kupata receeipy zote ilizowahi kuandika , unapata , bado wasomi mnakomaa na sheria ambazo tech imeshazianya useless
Sheria unayongelea hapa naami i ilitungwa wakati hakuna efd , na ilitakiwa ifanyiwe mabadiliko baada ya ujio wa efd.
Ni kama vile askari wa barabarani wanavyokomalia sicker ya bima kwenye windscreen ,ilhali sheria ya bima ilishacha kutumia sticker
 
Taasisi nyingi za kiserikali zinafanya kazi kupitia hardcopy. Mifumo yao ya softcopy ni ziada tuu katika utendaji wao.
Zama zimebadilika ndugu , softcopy ndio name of the game kwa sasa.. ni vile tu wasomi wetu hawataki kuji update .
Risiti ya efd haitunziki ,ila kila unapoandika receipt efd inapeleka exact receipt kwenye server za Tra .
 
Mwache dogo akajiandae na masomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…