Kwanini TRA mnatulazimisha kuja na risiti za mauzo wakati rekodi zetu mnazo?

unajua utachekwa ndugu, kulipia ada ya liseni TRA wamepewa tu jukumu la kukusanya haimaanishi wao ndiyo wanaotoa liseni. sasa kwa nini hushangai polisi wanaposema tumezifuta au fungia liseni kadhaa na siyo tra ? jiongeze kidogo
Umejitahidi kwa hilo japo najua watu wanakucheka. Haya na hili la kitabu cha benki mbona hutaki kuanika ujinga wako kama unavyouanika kwenye leseni?
 
Unahitaji physical evidence kwa ajili ya auditing, EDF only provides sales receipts. Wakitaka ku match sales zako na purchases they need to see evidence ya manunuzi ya bidhaa unazouza na stock yenyewe pia at times.

Ni hivi kutokutunza receipts ni kujitafutia matatizo makubwa sana for auditing purposes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…