Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,556
Sijui sana mkuu, ila nachoelewa ni kuwa inahitaji kuwa smart kuweka mfumo wa kukusanya mapato ya nchi kwenye simu, na pia lile limachine la Efd si gharama ila kuna sababu ya kuwa ghali, nahisi ni mfumo na management ya software wakati wa installationAndroid ni mfumo tu wa simu, lakini muhimu ni servers ambazo zitakuwa zinatunza hizo data ambazo I bet sio Android.