euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
Hizi mashine ni miradi ya watu na kamwe hata ukiwapelekea haya mawazo hakuna jipya watafanya ,wapo kiupigaji zaidi jana tu huku kijijin hawa jamaa wa TRA wametimba kuwataka wafanya biashara kununua hizi wakaacha na zile barua zao kuwa ndani ya siku 14 kila anayepaswa kuwa na mashine basi awe nayo.So wadau wanafikiria hyo laki 5 inapatkana vip