Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,556
Sijui sana mkuu, ila nachoelewa ni kuwa inahitaji kuwa smart kuweka mfumo wa kukusanya mapato ya nchi kwenye simu, na pia lile limachine la Efd si gharama ila kuna sababu ya kuwa ghali, nahisi ni mfumo na management ya software wakati wa installationAndroid ni mfumo tu wa simu, lakini muhimu ni servers ambazo zitakuwa zinatunza hizo data ambazo I bet sio Android.
Miamala inayochajiwa kwenye transactions za bank(kodi na gharama za kibenki) umewahi kusikia imeibiwa au kupotea na kushindwa kuwafikia benki husika? TRA wanashindwaje kuingiza matumizi ya mifumo kama hiyo ili kuwaondolea wateja wake usumbufu na pia kuongeza mapato?Yes ila bank ukifanya kosa ukaibiwa pesa yako hilo si jukumu lao ni lako.
Imagine mfumo wa android ni wa dunia nzima na control yake ni ndogo sana TZ. Sasa uutumie kukusanya mapato ya nchi yako halafu wanaijeria, waisrael, wahindi, waarabu woote hao wana utundu wa kucheza na android software.
Inawezekana sana, ila si jambo la kukurupuka. Inahitaji kutulia na uwe na It wenye akili sana.
Mbona siku hizi tunalipa malipo karibu yote ya serikali kupitia simu? Halafu hii software si lazima uweke kwenye simu. Unaweza kuweka kwenye laptop au desktop. Ni uamuzi wako.Sijui sana mkuu, ila nachoelewa ni kuwa inahitaji kuwa smart kuweka mfumo wa kukusanya mapato ya nchi kwenye simu, na pia lile limachine la Efd si gharama ila kuna sababu ya kuwa ghali, nahisi ni mfumo na management ya software wakati wa installation
Yaani tupo kwenye wavelength moja!!. Thanks.Miamala inayochajiwa kwenye transactions za bank(kodi na gharama za kibenki) umewahi kusikia imeibiwa au kupotea na kushindwa kuwafikia benki husika? TRA wanashindwaje kuingiza matumizi ya mifumo kama hiyo ili kuwaondolea wateja wake usumbufu na pia kuongeza mapato?
Kama TRA haina wataalam wa IT kama zilivyo bank na makampuni ya simu, kuna haja gani ya kuendelea kuwepo? Acha kutetea us3nge Mkuu.Yes ila bank ukifanya kosa ukaibiwa pesa yako hilo si jukumu lao ni lako.
Imagine mfumo wa android ni wa dunia nzima na control yake ni ndogo sana TZ. Sasa uutumie kukusanya mapato ya nchi yako halafu wanaijeria, waisrael, wahindi, waarabu woote hao wana utundu wa kucheza na android software.
Inawezekana sana, ila si jambo la kukurupuka. Inahitaji kutulia na uwe na It wenye akili sana.
Shida iko hapo Mkuu, hicho ndio kikwazo cha TRA kuingia kikamilifu kwenye matumizi ya teknolojia kama zilivyo kampuni za simu na mabenki.Machine sio gharama wala tatizo, tatizo ni 10% TRA kwa kila anaeomba uwakala wa hizi machine na msambazaji mkuu pergamon.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ndio maana ni bora tuondokane na mfumo huu ovyo. Yaani kimachine cha ovyo hivyo kiuzwe laki sita? Ukiritimba wa kununua, kuki configure, karne ya 21?Machine sio gharama wala tatizo, tatizo ni 10% TRA kwa kila anaeomba uwakala wa hizi machine na msambazaji mkuu pergamon.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Tofautisha mfumo wa kulipa ela iwafikie na mfumo wa utoaji risiti na utunzaji kumbukumbu.Miamala inayochajiwa kwenye transactions za bank(kodi na gharama za kibenki) umewahi kusikia imeibiwa au kupotea na kushindwa kuwafikia benki husika? TRA wanashindwaje kuingiza matumizi ya mifumo kama hiyo ili kuwaondolea wateja wake usumbufu na pia kuongeza mapato?
Ww unataka mfumo wa kulipa ndo ubadilishwe au mfumo wa utoaji risiti na utunzaji kumbukumbu za serikali?Mbona siku hizi tunalipa malipo karibu yote ya serikali kupitia simu? Halafu hii software si lazima uweke kwenye simu. Unaweza kuweka kwenye laptop au desktop. Ni uamuzi wako.
Safi sanaIdea nzuri sana hii....ila utekelezaji wake ndo shughuli maana hizi mashine ni kichaka cha watu kuingiza pesa
Last month...EFD machine yangu ilikufa print head...ikiwa ndani ya muda wa warrant. Niliwapelekea wauzaji wairekebishe..
Waligoma kwa kusema iyo ni shida ya hardware, haihusiki kwenye warrant. Na wakadai mashine inakufa print head endapo itapata ukungu kama sijaitumia kwa muda mrefu.
Wakataka niwalipe 155,000 kama gharama za kureplace kifaa husika. Nikaamua kuachana nao..niliagiza print head from china na ikafika azikiwe post office dar es salaam kwa shilingi 17000 tu pamoja na nauli yake..nimerekebisha mashine yangu mwenyewe.
Haya makampuni yana haja ya kudhibitiwa sasa..
Ww unataka mfumo wa kulipa ndo ubadilishwe au mfumo wa utoaji risiti na utunzaji kumbukumbu za serikaliMbona siku hizi tunalipa malipo karibu yote ya serikali kupitia simu? Halafu hii software si lazima uweke kwenye simu. Unaweza kuweka kwenye laptop au desktop. Ni uamuzi wako.
Bank haitumii mfumo wa android kutunza kumbukumbu zao boss. Machine ya Efd si ya kutuma pesa, ni ya kutoa risiti na kutunza kumbukumbu. Mada imesugest tutumie android kutoa risiti si ndio? Unless sijaelewa.Kama TRA haina wataalam wa IT kama zilivyo bank na makampuni ya simu, kuna haja gani ya kuendelea kuwepo? Acha kutetea us3nge Mkuu.
Mkuu usiwe lijinga na mbishi kiasi hiki, hoja hapa ni TRA kuachana na mashine za EFD, badala yake wajikite kwenye matumizi ya teknolojia kikamilifu kama zilivyo bank na kampuni za simu. Mifumo ya teknolojia sio android tu, uwe na akili kidogo. Wewe ni kati ya wanufaika wa huu mfumo wa kishenzi uliopo sasa?Ww unataka mfumo wa kulipa ndo ubadilishwe au mfumo wa utoaji risiti na utunzaji kumbukumbu za serikali
Bank haitumii mfumo wa android kutunza kumbukumbu zao boss. Machine ya Efd si ya kutuma pesa, ni ya kutoa risiti na kutunza kumbukumbu. Mada imesugest tutumie android kutoa risiti si ndio? Unless sijaelewa.
We mbwiga, unapofanya miamala yako kwenye mifumo ya simu huwa hupati risiti? Makampuni ya simu huwa yanakosa kodi yao? Uwe na akili kidogo, kama TRA wanapata kigugumizi kuingia kwenye matumizi stahiki ya teknolojia ujue kuna tatizo hapo.Tofautisha mfumo wa kulipa ela iwafikie na mfumo wa utoaji risiti na utunzaji kumbukumbu.
Atakuwa muuzaji wa EFD machine.We mbwiga, unapofanya miamala yako kwenye mifumo ya simu huwa hupati risiti? Makampuni ya simu huwa yanakosa kodi yao? Uwe na akili kidogo, kama TRA wanapata kigugumizi kuingia kwenye matumizi stahiki ya teknolojia ujue kuna tatizo hapo.
Tulia tumia zilizopo mpaka tutakapopata mbadala. UsituchosheMkuu usiwe lijinga na mbishi kiasi hiki, hoja hapa ni TRA kuachana na mashine za EFD, badala yake wajikite kwenye matumizi ya teknolojia kikamilifu kama zilivyo bank na kampuni za simu. Mifumo ya teknolojia sio android tu, uwe na akili kidogo. Wewe ni kati ya wanufaika wa huu mfumo wa kishenzi uliopo sasa?
Mbadala sio Kama hakuna ndugu. Nia ndio hakuna kwa sababu ya maslahi binafsi. Wanaoumia ni wateja.Tulia tumia zilizopo mpaka tutakapopata mbadala. Usituchoshe
Hapa tunaongelea TRA kujikita kwenye matumizi ya teknolojia, kama hauko huko au hujui chochote kuhusiana na teknolojia inavyofanya kazi, unawashwa washwa na nini Mkuu?Tulia tumia zilizopo mpaka tutakapopata mbadala. Usituchoshe
Tulia tumia mfumo uliopo mpaka mbadala utakapopatikana.Hapa tunaongelea TRA kujikita kwenye matumizi ya teknolojia, kama hauko huko au hujui chochote kuhusiana na teknolojia inavyofanya kazi, unawashwa washwa na nini Mkuu?