Hahahaa, sisi WAKWEPA KODI hatuna shida. Ila siku serikali ikijitambua na kutaka kukusanya mapato halisi itawekeza kwenye matumizi ya teknolojia kikamilifu hapo TRA. Kwa sasa acha tuendelee kupata win win situation, wao wanatumia mwanya huo kupiga pesa za wadanganyika na sisi tunakwepa tu.Tulia tumia mfumo uliopo mpaka mbadala utakapopatikana.
Kukwepa kodi kwa kisingizio cha mfumo ni kukosa kuipenda nchi yako. Serikali ina mapungufu mengi, ni vizuri kutokutumia hayo mapungufu kufanya uhalifu. Kukwepa kodi ni uhalifu. Mapungufu yanafanyiwa kazi kila siku..Hahahaa, sisi WAKWEPA KODI hatuna shida. Ila siku serikali ikijitambua na kutaka kukusanya mapato halisi itawekeza kwenye matumizi ya teknolojia kikamilifu hapo TRA. Kwa sasa acha tuendelee kupata win win situation, wao wanatumia mwanya huo kupiga pesa za wadanganyika na sisi tunakwepa tu.
Kuna uhalifu zaidi ya huo wa kulazimisha matumizi ya mashine kwa kigezo cha 10%, wakati kuna mbadala wa mifumo ya kiteknolojia?Kukwepa kodi kwa kisingizio cha mfumo ni kukosa kuipenda nchi yako. Serikali ina mapungufu mengi, ni vizuri kutokutumia hayo mapungufu kufanya uhalifu. Kukwepa kodi ni uhalifu. Mapungufu yanafanyiwa kazi kila siku..
Mabenki yangelazimisha wateja kununua na kutumia "mashine kama hizo" kwenye mobile banking, wangempata mteja gani kwenye hizo huduma?Kukwepa kodi kwa kisingizio cha mfumo ni kukosa kuipenda nchi yako. Serikali ina mapungufu mengi, ni vizuri kutokutumia hayo mapungufu kufanya uhalifu. Kukwepa kodi ni uhalifu. Mapungufu yanafanyiwa kazi kila siku..
Hiyo solutions tayari ipo muda tu. Inaitwa VFD (Virtual EFD). Tembelea Ofisi yako ya TRA ulizia na utapewa muongozo.Hizi mashine za kutoa risiti za TRA ni ghali hasa kwa mtu anayeanza biashara na hana uhakika wa mzunguko wa fedha. Uchunguzi mfupi niliofanya ni kwamba Bei ya chini kabisa ni Sh. 580,000. Bei ya juu ni mpaka shs 2m.
Natoa pendekezo lifuatalo kwa TRA. Watengeneze application ambayo inaweza kutumika kwenye simu na computer. Mtu anayeanza biashara mpya, TRA wana activate TIN number ya mteja ambapo baada ya mteja ku download application, ana create profile yake eg jina la biadhara, mwaka wa fedha etc. Kurahisisha zaidi, una download na ku create profile yako, halafu app inaangalia kwenye database ya serikali ya TIN, business name, etc, na kufanya auto approval. Kesho tu unaanza biashara.
Akianza biashara, atakuwa ana print risiti kupitia application wakati tu akiwa online. Faida ni nyingi sana mfano unafuu wa gharama na urahisi wa system, reporting system, TRA wanaweza kuifunga remotely etc. Sasa hivi machine ikiharibika inabidi kutafuta fundi maalum kutengeneza, au ununue ingine kwa bei ghali.
Mfano wa system hii ni Kama hapa chini.
View attachment 1509686
Nitaenda. Kwa nini hawaitangazi? Nafikiri bado ni mfumo huo huo wa kuuziwa hardware. Ebu elezea zaidi unavyofanya kaziHiyo solutions tayari ipo muda tu. Inaitwa VFD (Virtual EFD). Tembelea Ofisi yako ya TRA ulizia na utapewa muongozo.
Acheni kujitetea Mkuu, ni wakati wa TRA kwenda na wakati sasa. Kwanini wasiwatumie wateja wake wote wenye TIN & VAT kama kweli ipo?Hiyo solutions tayari ipo muda tu. Inaitwa VFD (Virtual EFD). Tembelea Ofisi yako ya TRA ulizia na utapewa muongozo.
Utetezi wa kitoto kabisa huu, ukweli ni kwamba hiyi ni BIASHARA YA WACHACHE HAPO TRA. Nchi hii imesheheni WAHALIFU kila sekta, period.Zingatieni pia na NETWORK KATIKA MAENEO MENGI YA NCHI HII. SIO KILA KITU KINAWEZEKANA KATAKA NCHI FULANI. HIZO MASHINE HAZIJANZIA HAPA HATA ULAYA WANATUMIA. Hizo mashine hazitumii network fulani kwamba sitashindwa kuwa hewani. Zimekuja kwa makusudio kwamba kila sehemu zifanye kazi. Wazo lako litakuwa na mashiko baada ya miaka 30 mbele. Kwasasa ngoja tutumie hardware tu. Kuhusu gharama hizo mashine TRA wanarehesha GHARAMA ZAKE KWA NJIA YA MAKADIRIO YAKO YA MWAKA UNAOFUATA MARA BAADA YA KUNUNUA EFD MACHINE.
Kama biashara yako haiingizi 14mil kwa mwaka Haina haja ya kuwa na machine.kuna vile vitambulisho.and kabla hujaamua kuwa na machine ya TRA lazima ukafanye makadirio TRA na pale ww mwenyewe ndo unasema biashara yako unaweza ingiza kiasi gani kwa mwaka.Kama gross margin yako ni 30%, hapo gross profit ni 4.2m kwa mwaka na hujaweka gharama zingine. Hiyo ni chini ya laki na sabini kwa mwezi. Ukiweka machine ya 590,000 inakuwa gharama sana.
Mifumo yote ya serikali duniani huwa haiwi controlled na simple application za Android or whatever.remember wanadeal na pesa(mapato ya nchi).Kuna hackers wengi Sana they can do whatever they want.security iko kubwa Sana kwenye hardware compared na software.remember that.Ugumu upo wapi hapo? Si unaweka password? Suala si simu bali application. Kwani Mbona banks wana apps zao una access account yako bila shida na kufanya miamala?
Naamini apps inakupa avenue kubwa zaidi ya hivi vimashini, mfano unaweza uka intergrate na VAT reporting na mteja aingize manunuzi yote yenye VAT aliyofanya na TIN zake. Report inakuwa rahisi na instantly utagundua fake recept hata kabla ya kufika TRA. Tuachane na huu ukiritimba wa vimashini.
UmenenaYes ila bank ukifanya kosa ukaibiwa pesa yako hilo si jukumu lao ni lako.
Imagine mfumo wa android ni wa dunia nzima na control yake ni ndogo sana TZ. Sasa uutumie kukusanya mapato ya nchi yako halafu wanaijeria, waisrael, wahindi, waarabu woote hao wana utundu wa kucheza na android software.
Inawezekana sana, ila si jambo la kukurupuka. Inahitaji kutulia na uwe na It wenye akili sana.
Halafu huyu hajui kama EFD zina line..,Utetezi wa kitoto kabisa huu, ukweli ni kwamba hiyi ni BIASHARA YA WACHACHE HAPO TRA. Nchi hii imesheheni WAHALIFU kila sekta, period.
Kabisa, sijui ametokea wapi huyu. Ana andika ujinga ujinga tu hapa. RUBBISHHalafu huyu hajui kama EFD zina line..,
Ila kama mdau alivosema hiyo issue ya VFD
Ipo sema wana communicate na walipa kodi wakubwa, nilienda pale TRA, ila ushirikiano wa kupata taarifa sahihi ilikuwa changamoto
Ni kwamba kuna vigezo fulani Fulani unatakiwa kukidhi ili kupata mfumo huo. Kwani sio kila mlipa kodi ana ujuzi wa computer na sio kila mlipa kodi anatumia mfumo wa computer katika biashara zake. Kwa hiyo system hiyo inahitaji pia integration ambayo watafanya wao wenyewe endapo mazingira na mifumo yako inaruhusu hivyo.Acheni kujitetea Mkuu, ni wakati wa TRA kwenda na wakati sasa. Kwanini wasiwatumie wateja wake wote wenye TIN & VAT kama kweli ipo?
Hakuna mtu ambaye hajui kutumia simu. Kama ni hivyo, wape watu option ya kununua hiko kimachine au kutumia app, uone kama kuna mtu atanunua. Nashangaa sana unaposema EFD ni mbadala rahisi. Kwa logic yako, simu za button ni preferable kwa simu za smart.Ni kwamba kuna vigezo fulani Fulani unatakiwa kukidhi ili kupata mfumo huo. Kwani sio kila mlipa kodi ana ujuzi wa computer na sio kila mlipa kodi anatumia mfumo wa computer katika biashara zake. Kwa hiyo system hiyo inahitaji pia integration ambayo watafanya wao wenyewe endapo mazingira na mifumo yako inaruhusu hivyo.
EFD imekuwa ni mbadala rahisi zaidi kwa watu wote hata kwa wale wasiokuwa na elimu.
Hakuna anayelazimisha, hizo ni nadharia tu. Sababu ya kulazimika kutumia mfumo huu pamoja na changamoto zipo na ni za msingi. Changamoto zinaboreshwa kila wakati, hata hili litaboreshwa siku moja ila kwa sasa tusivunje sheria kwa kisingizio ambacho hata ushahidi uliokamilika haupo. Kama kuna hizo 10pc unazosema hakuna uovu unaokaa gizani milele, kuna siku litakuwa wazi. Ila usikwepe kodi.Kuna uhalifu zaidi ya huo wa kulazimisha matumizi ya mashine kwa kigezo cha 10%, wakati kuna mbadala wa mifumo ya kiteknolojia?
Zitaje changamoto hizo.Hakuna anayelazimisha, hizo ni nadharia tu. Sababu ya kulazimika kutumia mfumo huu pamoja na changamoto zipo na ni za msingi. Changamoto zinaboreshwa kila wakati, hata hili litaboreshwa siku moja ila kwa sasa tusivunje sheria kwa kisingizio ambacho hata ushahidi uliokamilika haupo. Kama kuna hizo 10pc unazosema hakuna uovu unaokaa gizani milele, kuna siku litakuwa wazi. Ila usikwepe kodi.
Acha uongo wewe , vipi mtu mwenye kampuni ila faida Yake kwa mWaka Ni chini ya milion 14 na anafanya kazi ya kuhudumia kampuni au mashirika , kumbuka kigezo Cha kufanya kazi na kampuni zingine au mashirika na taasisi ya serikali inabidi uwe na EFD machine. Hapo utafanyaje?Kama biashara yako haiingizi 14mil kwa mwaka Haina haja ya kuwa na machine.kuna vile vitambulisho.and kabla hujaamua kuwa na machine ya TRA lazima ukafanye makadirio TRA na pale ww mwenyewe ndo unasema biashara yako unaweza ingiza kiasi gani kwa mwaka.
Kwani kutumia Android Hadi uwe na elimu gani ?Ni kwamba kuna vigezo fulani Fulani unatakiwa kukidhi ili kupata mfumo huo. Kwani sio kila mlipa kodi ana ujuzi wa computer na sio kila mlipa kodi anatumia mfumo wa computer katika biashara zake. Kwa hiyo system hiyo inahitaji pia integration ambayo watafanya wao wenyewe endapo mazingira na mifumo yako inaruhusu hivyo.
EFD imekuwa ni mbadala rahisi zaidi kwa watu wote hata kwa wale wasiokuwa na elimu.