Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,556
Hata kama maadili yangekuwa yanaruhusu kuweka mambo ya ndani ya kiserikali kwenye mitandao ya kijamii halafu na mm nikawa kwenye nafasi ya kuyaweka nisingefanya hivyo.Zitaje changamoto hizo.
Yaani changamoto za kuboresha huduma kwa wananchi inakuwa siri?Basi, inakula kwetu na usishangae tunapokuja na hoja hizi.Hata kama maadili yangekuwa yanaruhusu kuweka mambo ya ndani ya kiserikali kwenye mitandao ya kijamii halafu na mm nikawa kwenye nafasi ya kuyaweka nisingefanya hivyo.
Changamoto za ofisi yoyote na si za serikali tu ni jambo la kiofisi, linatatuliwa na wenye dhamana ya ofisi na si jumuiya. Wananchi ni haki yetu kutoa malalamiko ya changamoto tunazopitia ili wahusika wapate taarifa na waangalie uwezekano wa kutatua lakini si sawa kwa ofisi kuweka kwenye jamii changamoto za ndani ya ofisi.Yaani changamoto za kuboresha huduma kwa wananchi inakuwa siri?Basi, inakula kwetu na usishangae tunapokuja na hoja hizi.
Mkuu kabla hujaquote, angalia nn unaquote na ww unataka kupinga au kuongeza nn. Jamaa kasema mapato ya miln14 kwa mwaka na sio FAIDA. na sheria ndio iko hivyo kwa wafanyabiashara ambao wanaingiza mapato ghafi ya kufikia 14M kwenda juu wanatakiwa kuwa na mashine ya EFD. Makampuni ni lazima uwe na mashine hiyo kwa kuwa mzunguko wa bishara lazima ufikie hiyo amount. Nyongeza yake kuna nature ya biashara fulani lazma uwe na mashine ya EFD kutokana na mazingira halisi mfano wauza MBAO. Hivyo basi ww pamoja na wengine ambao bila fact mpo kwa ajili ya kupinga na sio kuleta mawazo chanya mnafaa mjitathmini na mjue kuwa huu ni mjadala wenye kulenga kufikia sehemu fulani hivyo hatubishani.Acha uongo wewe , vipi mtu mwenye kampuni ila faida Yake kwa mWaka Ni chini ya milion 14 na anafanya kazi ya kuhudumia kampuni au mashirika , kumbuka kigezo Cha kufanya kazi na kampuni zingine au mashirika na taasisi ya serikali inabidi uwe na EFD machine. Hapo utafanyaje?
Sijui hata umeelewa nilichoandika, nasijui umetumia vigezo gani kusema Mimi napinga kila kitu.Mkuu kabla hujaquote, angalia nn unaquote na ww unataka kupinga au kuongeza nn. Jamaa kasema mapato ya miln14 kwa mwaka na sio FAIDA. na sheria ndio iko hivyo kwa wafanyabiashara ambao wanaingiza mapato ghafi ya kufikia 14M kwenda juu wanatakiwa kuwa na mashine ya EFD. Makampuni ni lazima uwe na mashine hiyo kwa kuwa mzunguko wa bishara lazima ufikie hiyo amount. Nyongeza yake kuna nature ya biashara fulani lazma uwe na mashine ya EFD kutokana na mazingira halisi mfano wauza MBAO. Hivyo basi ww pamoja na wengine ambao bila fact mpo kwa ajili ya kupinga na sio kuleta mawazo chanya mnafaa mjitathmini na mjue kuwa huu ni mjadala wenye kulenga kufikia sehemu fulani hivyo hatubishani.
Unajua ndani ya iyo EFD mashine kuna laini ya moja ya mitandao ya hapa kwetu?Hata kama maadili yangekuwa yanaruhusu kuweka mambo ya ndani ya kiserikali kwenye mitandao ya kijamii halafu na mm nikawa kwenye nafasi ya kuyaweka nisingefanya hivyo.
Fundi mangungu acha kupotosha!Yes ila bank ukifanya kosa ukaibiwa pesa yako hilo si jukumu lao ni lako.
Imagine mfumo wa android ni wa dunia nzima na control yake ni ndogo sana TZ. Sasa uutumie kukusanya mapato ya nchi yako halafu wanaijeria, waisrael, wahindi, waarabu woote hao wana utundu wa kucheza na android software.
Inawezekana sana, ila si jambo la kukurupuka. Inahitaji kutulia na uwe na It wenye akili sana.
Imagine mfumo wa android ni wa dunia nzima na control yake ni ndogo sana TZ. Sasa uutumie kukusanya mapato ya nchi yako halafu wanaijeria, waisrael, wahindi, waarabu woote hao wana utundu wa kucheza na android software
Sijui sana mkuu, ila nachoelewa
Problem sio cost tu. It is also the ease of having the machine and using it. Why should I go to few selected sellers for buying, configuring and repairing it? Except for the software, these should be commercially available products/services. And it is certainly not a solution looking for a problem,because the problems have been stated.This is a solution looking for a problem, at least at the moment and the way it is presented in this thread.
If the problem is cost ya EFD then solution ni lowering or subsidizing the cost or rent them. if it's supply then more authorized suppliers can be added. Both could potentially(personal opinion) be cost efficient than proposed solution.
At the end of the day I think it's a cultural/institutional problem, if one doesn't want to pay taxes they will find ways/excuses, and if you don't ask for receipt you are part of the problem. In the long run we'll have to move to such systems though.
Problem sio cost tu. It is also the ease of having the machine and using it. Why should I go to few selected sellers for buying, configuring and repairing it? Except for the software, these should be commercially available products/services. And it is certainly not a solution looking for a problem,because the problems have been stated.
Haha dah nchi ngumu hiiUpuuzi mwingine, ukishanunua basi, huwezi kumuuzia mtu yeyote ikiwa utafunga biashara na hutaki kuendelea tena. Nimeuliza kwa wale walioruhusiwa na TRA kuuza kama inawezekana ku configure machine upya kwa mtu mwingine akasema haiwezekani. Kwa hiyo ukinunua ni yako maishani ukiacha biashara mpe mtoto wako aichezee tu kama toy.
Hiyo EFD nayo chanzo cha mapatoHapo una ki Tecno chako cha laki na nusu na printer ya shs 50,000 tu. Simu ikiharibika, unanunua ingine unafanya installation Kama WhatsApp vile, boom upo online huhitaji sijui kurudi TRA kufanya configuration. Yaani faida nyingi mno kuliko eti kuweka special vendor wa EFD machines.
Ya kwao mfukoni nahisi.Hiyo EFD nayo chanzo cha mapato