KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Sasa wewe unakereka na nini au ulitaka akuombe cheti cha ndoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba waniulize cheti cha ndoa kama unavyosema, ila napata shida kulink kuwa na kadi ya gari na leseni wakati naendesha gari na jukumu lao la usalama barabarani. Kwa mfano, kadi ya gari inanisaidia nini katika kuendesha gari langu?! mimi nilitegemea anishauri kwa mfano, kunikumbusha walau matairi yangu yameisha na hivyo ni hatari kwa usalama wangu, na sio kusema "huna kadi ya gari" faini sh..... nini hiii?!?!?!?!?!?!? binafsi napata shida sana, hawana mambo mengine ya kukagua barabarani? over speed nakubaliana nayo, ila vitu vidogo vidogo kama kadi, NO au eti abiria wako hajafunga mkanda, faini elf 30!!!! is it logical?.
ndugu,mimi sio trafic ila kwa kukuliza hayo maswali kama kadi ya gar na lesen kama n vya wizi wanaweza kuvibain kwa wasiwasi utakaokuwa nao
ndoo sheria kaka soo inakubidi uvumilie tuu na kuzoea,Ndugu wanajamvi,
Binafsi nakerwa sana na ninaposimamishwa na traffic kisha kuombwa leseni, kadi ya gari na wakienda sana ni fire extinguisher na triangle! vitu hivi ni muhimu kuwa navyo na hasa ni kwa usalama wa mmiliki wa gari.
Hainiingii akilini kama mimi mtu mzima natoka na gari yangu umbali mrefu naingia barabarani mwenyewe halafu sijithamini usalama wangu! nikishamuonesha kadi ya gari, ama leseni, yeye kikazi inamsaidia nini?!
Fire extinguisher siku hizi lazima ulipie kupitia re-licensing, sasa kwa nini watu hawa huulizia hii kitu, utakuwa mwendawazimu kiasi gani ulipie fire extinguisher kisha uishie kutokuwa nayo?
Napata maswali mengi sana juu ya taaluma hii, ndivyo maelekezo ya kazi yao au WANAPASWA KUELIMISHA JUU YA USALAMA BARABARANI?!
Wanajamvi naomba anayefahamu sana mambo haya anielimishe, I am tired, karibu napaki gari zangu, nianze kutembea kwa baskeli. asanteni.
Kama unakosa hivyo vitu ni kosa na kama unakosa unategemea nini kama si kuchukuliwa hatua? Kama unaona unaonewa usilipe hiyo fine waambie tu kua unataka kesi yako iende mahakamani ili mkagaragazane huko weeeee hadi haki ipatikane.Sio kwamba waniulize cheti cha ndoa kama unavyosema, ila napata shida kulink kuwa na kadi ya gari na leseni wakati naendesha gari na jukumu lao la usalama barabarani. Kwa mfano, kadi ya gari inanisaidia nini katika kuendesha gari langu?! mimi nilitegemea anishauri kwa mfano, kunikumbusha walau matairi yangu yameisha na hivyo ni hatari kwa usalama wangu, na sio kusema "huna kadi ya gari" faini sh..... nini hiii?!?!?!?!?!?!? binafsi napata shida sana, hawana mambo mengine ya kukagua barabarani? over speed nakubaliana nayo, ila vitu vidogo vidogo kama kadi, NO au eti abiria wako hajafunga mkanda, faini elf 30!!!! is it logical?.
Labda atakua anamiliki gari ya wizi huyu ndiyo maana ana wasiwasi km gaidiWhat if gari linamilikiwa isivyo halali, nenda mwenge Majembe pale Magari kibao ya maana yaliyokuwa na usajili wa piki piki kukwepa ushuru, wengine magari ya wizi so Plate no na kadi ni mguu wa kusoto na wa kulia...let em do their work! Usilalamike labda iwe kuna kitu unaficha!
Saa ingine unakuta mtu hajafunga akichukuliwa hatua analialia, anaendesha pikipiki bila kofia ngumu napo akichukuliwa hatua anakua mkali. Hivi ukipata ajali majeraha atayapata traffic au kichwa cha traffic ndiyo kitapasuka ukianguka na hiyo pikipiki? Uoni traffic anapokuchukulia hatua ili ufate sheria mfaidika ni wewe na wala siyo yeye? Alafu ukipata madhara kwa uzembe wako unaanza oh hawa traffic hawafanyi lolote wamesimama barabarani km nguzo za umeme tu.kwani mkuu hata hofisini kunakuwaga na sheria...!! hizo ni kati ya sheria hambazo mmiliki wa
gari anatakiwa kuwa nazo....
1-mkanda
mkanda hata kama mtakuwa kumi ndani ya gari wote mwatakiwa kufunga mikanda kwaajili ya usalama.
2-fire
sawa walipia kwenye road license,lakini kuna fire hambayo hutumia kuzimia gari watakiwa kuwa nayo...
usiwachoke kwani wapoa kwaajili ya usalama wetu.
Mkuu nakubaliana na ww kabisa trafiki akijua kadi ya gari ina jina la mzito wa serikalini huwa wanakuwa na adabu sanakwa siku hizi sababu pekee ya kudai kadi ni kuangalia 'uzito' wa jina lako na la mwenye gari, kabla hajaanza kukuzingua!
Pale ccp moshi tulifundishwa kwamba ili ku secure mtuhumiwa. kumbuka kila unaposimamishwa na polisi wewe ni mtuhumiwa. anachukua kadi na lesen kabla ya fiziko examination. Hakuna trafiki anaechukua rushwa hii ni dhana ya urongo na potofu. kama umeshawahi kutoa rushwa lete ushahidi
Wewe ushawahi kutoa Rushwa?We hamnazo kabisa. Tena siku hizi hamuombi, manataka rushwa kwa lazima. tena usinikumbushie machungu wewe.
Tena kwa lazima la sivyo inakula kwako, nipo na haraka nawahi airport, nataka kuwahi taa nikachelewa nikajikuta nimesimama mbele ya msitari wa stop. wakadai faini sh 30000 papo kwa hapo, au lete mwekundu usepe. ukiangalia saa mbaya, gari umepaki kando alafu wenyewe wala hawana haraka. Shikamoo kaka trafik.Wewe ushawahi kutoa Rushwa?
Kwahiyo ulikuwa na kosa na haukutaka kufata utaratibu wa kawaida wa kulipa faini..Tena kwa lazima la sivyo inakula kwako, nipo na haraka nawahi airport, nataka kuwahi taa nikachelewa nikajikuta nimesimama mbele ya msitari wa stop. wakadai faini sh 30000 papo kwa hapo, au lete mwekundu usepe. ukiangalia saa mbaya, gari umepaki kando alafu wenyewe wala hawana haraka. Shikamoo kaka trafik.