Kwanini tuabudie miungu ya wengine Mungu wetu yupi?

Kwanini tuabudie miungu ya wengine Mungu wetu yupi?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Allah ni muungu wa waarabu
Yehova ni muungu wa waisraeli wanaochangia na wazungu ili nao waonekane wazungu na si waarabu kama ilivyo asili yao.
Buddha ni muungu wa wahindu,
Je sisi Waafrika Mungu wetu ni yupi?
 
Nadhani Budha ni Mungu wa Wachinaa.k.amacho kuvimba ila kwa Imani ya kibudha hata Mimi naweza kuwa Mungu muhimu kuwa enlightened.
Krishna ni Mungu wa Wahindi.
Yahweh ni Mungu wa Waisrael
Jesus ni Mungu wa wakristo
Sun ni Mungu wa waajemi
Mungu/Mulungu ndio Mungu wetu sisi.
Maana ni invention ya humans
 
Mungu ameshafanya Kazi yake amemaliza huu ulimwengu unajiendesha wemyewe kupitia Karma. na sheria nyinginezo za ulimwengu.

Ukitoa positive energy Kwa for the needs itakurudia kwako na kwa watoto wako.

The same ukitoa negative energy itakurudia kwako na watoto wako.

Ukisema Mungu wa waafrica ni kuwa waafrica asilimia kubwa they don't understand mambo ya kiroho wanahangaika huku na kule.

Wachache wanaoelewa wanafanya mambo sahihi.

Hakuna Mungu wa Mchina wa mzungu mungu ni mmoja tu hayo mengine ni Visawe
 
miungu na dini zake ni tamaduni ambazo zinasambazwa kutoka kwenye jamii moja kwenda nyingine

haijakaa sawa kusema 'mungu wetu', 'mungu wao', tamaduni ikishaingia kwenye jamii yako unaiasili inakuwa yako

ukristo na uislamu vimetokana na uyahudi, kwahiyo tuseme wakristo na waislamu ni wayahudi? hapana
 
Allah ni muungu wa waarabu
Yehova ni muungu wa waisraeli wanaochangia na wazungu ili nao waonekane wazungu na si waarabu kama ilivyo asili yao.
Buddha ni muungu wa wahindu,
Je sisi Waafrika Mungu wetu ni yupi?
Waisrel ndiyo hao Waafrika waleo wao walikimbia huko kwao na kukimbilia huku Afrika, Na leo Waafrika wanateseka kwasababu ya kutokujua kile wanacho kifuata maana kumbukumbu la torati 28, linasema "Mtaabudu miti na mawe na mtachukuliwa utumwani na huko mtatumikia miungu mingine"
 
Allah ni muungu wa waarabu
Yehova ni muungu wa waisraeli wanaochangia na wazungu ili nao waonekane wazungu na si waarabu kama ilivyo asili yao.
Buddha ni muungu wa wahindu,
Je sisi Waafrika Mungu wetu ni yupi?
Kwani umelazimishwa. Wewe nenda kwa miungu ya mababu. Mimi hapana, miungu inatesa kweli ile siitaki kabisa
 
kivipi?

wakati tunajua kila kabila lilikuwa na dini yake

hilo neno 'mungu' naona kama ni cheo tu

kila mungu ana jina lake
Wa kwetu ni Mulungu na sehemu aliyopo panaitwa Panga za Mulungu.

Hao wengine wataje ila tambua kama sio mti mkubwa,jiwe kubwa, jiwe lililoanguka toka angani, basi ni bahati au Mto mkubwa ndio waliabudu.

Kumbuka Mungu wa wachaga mwenye macho matatu yupo kilele Cha mlima Kilimanjaro.

Mungu wa Masai yupo Mlima Eldoinya Lengai.

Ndio maana nimekwambia Mungu ni human invention.

kwa tamaduni za kichina, ukiweza kuexcell kwenye kitu fulani lazima utakuwa God/god.
 
Allah ni muungu wa waarabu
Yehova ni muungu wa waisraeli wanaochangia na wazungu ili nao waonekane wazungu na si waarabu kama ilivyo asili yao.
Buddha ni muungu wa wahindu,
Je sisi Waafrika Mungu wetu ni yupi?
Kwani kuna Mungu wa kila bara au jamii? Hapo umesema wazungu wanachangia Mungu na waisraeli sasa hayo mawazo ya waafrika kuwa na Mungu wetu wa kiafrika yanatoka wapi? Hakuna Mungu wa afrika labda tumuunde sasa hivi.
 
Mungu ni nini?

Kwanini unalazimisha waafrika tuwe naye?

Kuna nini anatoa chenye thamani?
 
Allah ni muungu wa waarabu
Yehova ni muungu wa waisraeli wanaochangia na wazungu ili nao waonekane wazungu na si waarabu kama ilivyo asili yao.
Buddha ni muungu wa wahindu,
Je sisi Waafrika Mungu wetu ni yupi?
Mungu ni nini kwanza?
 
Back
Top Bottom