Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Sikatai mkuu ila jamaa hadi anachukua silaha kwa askari wawili waliokuwa nazo ni shida sana.Umeongea ukweli na kwa uchungu sana.
Ni kweli baadhi ya watu wanaajiriwa kwa MEMO na kwa sababu wana ndugu zao wenye vyeo bila kuwa na moyo wa ndani wa utumishi.
Lakini nadhani kwenye hii issue, hata kama una moyo wa utumishi namna gani uvamizi waliyofanyiwa hawa askari ungempata askari yeyote yule.
Haiwezekani askari awe na silaha kisha abweteke, wanatakiwa kuwa makini sana wawapo na silaha zao.