Kwanini tukio liwe karibu na Ubalozi wa Ufaransa?

Ninachoelewa mimi, hata mtu awe mlenga shabaha vipi, kulenga mtu anayetembea ni kazi kubwa na hasa unapolenga na kujibanza kwa kuibia.
Hakuna STRATEGY nzr waliyotumia... Polisi wetu wametuangusha.. kipindi yupo ktk kibanda ndio angekamatwa kama KUKU.. palee ndio alikuw kashajiweka sehem sahihi kumkamata akiwa HAI.
 
Hakuna STRATEGY nzr waliyotumia... Polisi wetu wametuangusha.. kipindi yupo ktk kibanda ndio angekamatwa kama KUKU.. palee ndio alikuw kashajiweka sehem sahihi kumkamata akiwa HAI.
Nakupata, lakini pia kumbuka pale kwenye kibanda kuna askari alijaribu kumfikia na kumpiga risasi kwa bastola lakini kwa bahati mbaya yule askari akapigwa risasi ya mguu au kiuno ( sina uhakika).

Ila naanza kuamini jamaa sio gaidi, kwa sababu angependa kumumaliza yule askari aliyempiga mguu angefanya hivyo.
 
Sas ile sio strategy ya kumkamata ADUI ule ni upuuzi.

Kuna kitu kinaitwa FIRE and movement approach.

Pale zingepigwa risasi kwa mfululizo ktk kibanda huku askari wakisogea na kupiga risasi nyingii bila kupumzika... Wangemkamata kama kuku yulee
 
...Kweli Mkuu, nilidhani pia kwa jinsi njemba ilivyokuwa ikitamba pale katikati ya Barabara Askari wetu walipaswa kumpiga risasi ya mguu ili awe Hai wakamuulize vizuri kulikoni???
 
...Kweli Mkuu, nilidhani pia kwa jinsi njemba ilivyokuwa ikitamba pale katikati ya Barabara Askari wetu walipaswa kumpiga risasi ya mguu ili awe Hai wakamuulize vizuri kulikoni???
Ilipashwa iwe hivo kulikua hamna haja ya kuua raia asie jua hata basic skill za military za ku-take cover and position, police wetu wanakosa uweledi ethics za police, police lazima awe civil.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…