Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kama kawaida yakePompoma mwandamizi katika ubora wake hapo juu anatupiga kamba
Na shetaniNa huwa tunaogopwa sana yaani......yoote ni sababu tumejaliwa kibali cha mamlaka na utawala
Hizi mambo za kwenda kaisho huko karagwe na kuambiwa mizimu ya kichifu imekuchagua kuja kuwa kiongozi mkubwa sana nchini !HUWA siamini sana japo unayoyasema yanaendana nani KWA asilimia 95 eti chifu Rumanyika ndio mizimu yake imekuchagua!!Nimeshatishiwa mno KUROGWA na Watu, ila nashangaa 75% yao Wameshakufa ( tena kwa Vifo vibaya ) sana tu.
Nina Mademu wengi NILIOBANDUANA nao kwa Kuwaahidi KUWAOA na walipogundua NILIWADANGANYA wakanitishia KUNIROGA huku karibia Wote wakisema UUME / MKUYENGE wangu HAUTOAMKA / UTAGOMA KUDINDA ila nashangaa kwa sasa ndiyo UNADINDA kwa Kasi ya 5G.
Kila nikienda ama Kukaa (Kuishi) au Kutembea maeneo / mikoa yenye Sifa ya UCHAWI na kuwa na WACHAWI Wengi nashangaa wale Wachawi nilioambiwa awali huwa WAPOLE Kwangu na hugeuka kuwa MARAFIKI zangu na HUNITII kwa kila nikisemacho.
Kila nikienda Kutembea katika ama Kambi za Jeshi au hata Taasisi moja Nyeti Wahusika HUNIOGOPA sana na hata Wengine hunipigia SALUTE wakidhani ni Mwenzao huku Wengine nikiwa napita MAGETINI Kwao huwa HAWANIKAGUI na huniruhusu tu kupita huku wakinipa HESHIMA Kubwa tu.
Binafsi najijua kabisa nilivyo CHOKA MBAYA wa Kutukuka Kimaisha ila sijui ni kwanini Watu wazima Wengi na hata Watu Wengine hupenda kuja KUNIKOPA Fedha kuanzia Shilingi Laki Tano hadi Milioni Tano na Wote nikiwajibu Mimi hata Shilingi Mia Tano (Jero) tu Mfukoni sina HAWAAMINI na wanasema ni MCHOYO kitu ambacho huwa KINANIUMA sana GENTAMYCINE huku Moyoni nikisema wangejua UHALISIA Wangu wa Kimaisha wangenionea hata HURUMA na labda Wao sasa ndiyo Wangenichangia Mimi Pesa.
Kuna muda huwa nakaa na Kujiuliza sana ni Kwanini hali hizi HUNITOKEA wakati Kiukweli GENTAMYCINE ni Mtu wa Kawaida mno mwenye Kadigrii kangu Kamoja tu ka Mass Communication ka mwaka 2009 (tena asiye na mbele wala nyuma Kimaisha) kulinganisha na Watu Wengine.
Nilijaribu Kuwashirikisha baadhi ya Wazee na Wataalam kadhaa na waliponihoji Maswali mengi na kujua kuwa GENTAMYCINE ni Mjukuu Tukuka wa Chifu fulani wakasema hiyo ndiyo sababu na kuniambia mambo kadha wa kadha ambayo nataka Kuyathibitisha kupitia Comments zenu ambazo mtazitoa katika huu Uzi wangu.
Karibuni Mtiririke na Mserereke hapa.
Una nasaba na Mwl Nyerere!?
Machifu & Wafalme wote wachawi tuNimeshatishiwa mno KUROGWA na Watu, ila nashangaa 75% yao Wameshakufa ( tena kwa Vifo vibaya ) sana tu.

Angalia unavyoniogopa hadi umeamua kuja na ID yako nyingine ili Kunidhihaki hivi na ile ID yako Maarufu hapa Kuipumzisha.kubwa jinga kwenye peak yake
Ungefafanua ningeuona Kichwani mwako / Kwako zimetimia ila sasa nina wasiwasi.Kutokurogeka pana fact nyingi si lazima utoke kwenye uchief
mwsho wa uwezo wa kufikiri wa kubwa jinga hauendan na umri wakeAngalia unavyoniogopa hadi umeamua kuja na ID yako nyingine ili Kunidhihaki hivi na ile ID yako Maarufu hapa Kuipumzisha.
Bao lililokuleta duniani lingechepushwa kwa Nje leo hii Tanzania isingekuwepo na Uncircumcised Baboon Wewe.
Baba yake na Babu yangu Wote walikuwa ni Machifu katika Ngome za Wazanaki.Una nasaba na Mwl Nyerere!?
Ukiacha Ushoga uliobobea Akili zitakurudi.mwsho wa uwezo wa kufikiri wa kubwa jinga hauendan na umri wake
Uko sahihi hili nalo nilihakikishiwa pia.Machifu & Wafalme wote wachawi tu
kwann unapenda kuuzungumzia au una urafik na mpwayunguUkiacha Ushoga uliobobea Akili zitakurudi.
Bwabwa leo utakuwa wapi nikupe Wateja? Mafuta yao wanayo usihangaike kubeba yako.Kama kawaida yake
Bwabwa leo utakuwa wapi nikupe Wateja? Mafuta yao wanayo usihangaike kubeba yako.kwann unapenda kuuzungumzia au una urafik na mpwayungu
Jiandae kuchukua uongozi wa nchi hii!!Baba yake na Babu yangu Wote walikuwa ni Machifu katika Ngome za Wazanaki.
Baadae Watoto Wao ( yaani Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ) na Baba yangu mkubwa ( nalihifadhi Jina lake japo nae sasa ni Marehemu kama ilivyo kwa Mwalimu Nyerere ) kutokana na Urafiki wao mkubwa tokea Utotoni waliamua kuwa Ndugu kabisa.
Ili Kukamilisha adhma yao hiyo ya kuwa Ndugu Kamili Wawili hawa waliwaambia Baba zao ( Baba yake Mwalimu Nyerere na Babu yangu ) ambapo waliwaelewa kisha wakaitwa Wazee wa Kimila kisha Mwalimu Nyerere na Baba yangu Mkubwa Wakachanjwa na Damu zao Kuchanganywa na kuwa Ndugu rasmi.
Hivyo mpaka hii leo Ukoo wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Ukoo wangu GENTAMYCINE wanashirikiana kwa kila Jambo / Tukio huku tukitembelea na Kujaliana kwa hali na Mali.
Na hata Jina langu aliyenipa ni Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuwa wa Kwanza kuja Kunibeba nilipozaliwa Agha Khan Hospital akitokea Jirani tu Ikulu ya Magogoni.
Nadhani nimekujibu kwa Ufafanuzi.