Kwanini tuliozaliwa katika koo za Kichifu/Machifu haturogeki na tuna asili ya kuogopwa na kuheshimiwa mno?

Mi nahis hv vitu hua vipo kwa baadhi ya watu yaan hata awe attacked kiroho hua Yale madhara hayamfikii kama yalivokusudiwa kua.

Unaweza kua miongoni mwao au yawezekana hata usingetoka Koo za kichifu bado ungekua na Kinga yako imara.
 
Umeongea ukweli Ndugu.

Mimi ilifika sehemu , nilikua naambiwa sionekani ....hàsa kama mtu akitaka kuja kwangu kwà lengo baya. Mimi nakua namuona ila yeye hanioni.

Nikitembea , nikakutana na kundi la watu...lazima wanipishe kwà Heshima sana.

Nikipita mtaani, si wazee, si vijana ...lazima wanitizame kwà mshangao.

Napewa Heshima sana, napigiwa saluti kila niendapo.

Wanajeshi, hasa makomando/ tiss...wakiniona..wanajua ni mwenzao.

Nina uwezo wa kuona mambo kabla hata hayajatokea.

Nina machale sana.

Kuna wachawi wengi wameishajaribu kunidhuru lakini hawajafanikiwa...mwisho wanaamua kunichafulia jina kwà kuniita mchawi.

Natokea ukoo wa kichifu ( Uzanakini)

Note: Mimi sio mtu wa kuonekana hadharani hovyohovyo.
 
Nimeshatishiwa mno KUROGWA na Watu, ila nashangaa 75% yao Wameshakufa ( tena kwa Vifo vibaya ) sana tu.

Nina Mademu wengi NILIOBANDUANA nao kwa Kuwaahidi KUWAOA na walipogundua NILIWADANGANYA wakanitishia KUNIROGA huku karibia Wote wakisema UUME / MKUYENGE wangu HAUTOAMKA / UTAGOMA KUDINDA ila nashangaa kwa sasa ndiyo UNADINDA kwa Kasi ya 5G.

Kila nikienda ama Kukaa (Kuishi) au Kutembea maeneo / mikoa yenye Sifa ya UCHAWI na kuwa na WACHAWI Wengi nashangaa wale Wachawi nilioambiwa awali huwa WAPOLE Kwangu na hugeuka kuwa MARAFIKI zangu na HUNITII kwa kila nikisemacho.

Kila nikienda Kutembea katika ama Kambi za Jeshi au hata Taasisi moja Nyeti Wahusika HUNIOGOPA sana na hata Wengine hunipigia SALUTE wakidhani ni Mwenzao huku Wengine nikiwa napita MAGETINI Kwao huwa HAWANIKAGUI na huniruhusu tu kupita huku wakinipa HESHIMA Kubwa tu.

Binafsi najijua kabisa nilivyo CHOKA MBAYA wa Kutukuka Kimaisha ila sijui ni kwanini Watu wazima Wengi na hata Watu Wengine hupenda kuja KUNIKOPA Fedha kuanzia Shilingi Laki Tano hadi Milioni Tano na Wote nikiwajibu Mimi hata Shilingi Mia Tano (Jero) tu Mfukoni sina HAWAAMINI na wanasema ni MCHOYO kitu ambacho huwa KINANIUMA sana GENTAMYCINE huku Moyoni nikisema wangejua UHALISIA Wangu wa Kimaisha wangenionea hata HURUMA na labda Wao sasa ndiyo Wangenichangia Mimi Pesa.

Kuna muda huwa nakaa na Kujiuliza sana ni Kwanini hali hizi HUNITOKEA wakati Kiukweli GENTAMYCINE ni Mtu wa Kawaida mno mwenye Kadigrii kangu Kamoja tu ka Mass Communication ka mwaka 2009 (tena asiye na mbele wala nyuma Kimaisha) kulinganisha na Watu Wengine.

Nilijaribu Kuwashirikisha baadhi ya Wazee na Wataalam kadhaa na waliponihoji Maswali mengi na kujua kuwa GENTAMYCINE ni Mjukuu Tukuka wa Chifu fulani wakasema hiyo ndiyo sababu na kuniambia mambo kadha wa kadha ambayo nataka Kuyathibitisha kupitia Comments zenu ambazo mtazitoa katika huu Uzi wangu.

Karibuni Mtiririke na Mserereke hapa.
Hizi mambo za kwenda kaisho huko karagwe na kuambiwa mizimu ya kichifu imekuchagua kuja kuwa kiongozi mkubwa sana nchini !HUWA siamini sana japo unayoyasema yanaendana nani KWA asilimia 95 eti chifu Rumanyika ndio mizimu yake imekuchagua!!

Hiyo ni nature na hulka ya mtu!

Nilipoenda ukweni nikaambiwa na Baba mkwe eti watu wanahisi wewe ni askari au mwanajeshi nikawacheka kishenzi!!!

Hizo ni asili ya urithi wa ulimwengu usioonekana!inawezekana ikawa hata Rais ajaye wa nchi mojawapo wa maziwa makuu lakini chukulia poa usije changanyikiwa KWA matarajio MAKUBWA SANA maishani!!
 
Bunge! nyerere !niliwahi sikia hii kitu toka KWA shehe wa kikongoman nikapuuza!sijui alimaanisha nini kunihusu hasa akiwa kapandisha maruhani pale KWA Babu!

Yaani aliacha wajukuu akanibwatukia Mimi KWA maneno nisiyoyaelewa yakiwepo hayo!

Nikadharau na kusepa kimya kimya kama kawaida YANGU!!
Una nasaba na Mwl Nyerere!?
 
Nimeshatishiwa mno KUROGWA na Watu, ila nashangaa 75% yao Wameshakufa ( tena kwa Vifo vibaya ) sana tu.

Nina Mademu wengi NILIOBANDUANA nao kwa Kuwaahidi KUWAOA na walipogundua NILIWADANGANYA wakanitishia KUNIROGA huku karibia Wote wakisema UUME / MKUYENGE wangu HAUTOAMKA / UTAGOMA KUDINDA ila nashangaa kwa sasa ndiyo UNADINDA kwa Kasi ya 5G.

Kila nikienda ama Kukaa (Kuishi) au Kutembea maeneo / mikoa yenye Sifa ya UCHAWI na kuwa na WACHAWI Wengi nashangaa wale Wachawi nilioambiwa awali huwa WAPOLE Kwangu na hugeuka kuwa MARAFIKI zangu na HUNITII kwa kila nikisemacho.

Kila nikienda Kutembea katika ama Kambi za Jeshi au hata Taasisi moja Nyeti Wahusika HUNIOGOPA sana na hata Wengine hunipigia SALUTE wakidhani ni Mwenzao huku Wengine nikiwa napita MAGETINI Kwao huwa HAWANIKAGUI na huniruhusu tu kupita huku wakinipa HESHIMA Kubwa tu.

Binafsi najijua kabisa nilivyo CHOKA MBAYA wa Kutukuka Kimaisha ila sijui ni kwanini Watu wazima Wengi na hata Watu Wengine hupenda kuja KUNIKOPA Fedha kuanzia Shilingi Laki Tano hadi Milioni Tano na Wote nikiwajibu Mimi hata Shilingi Mia Tano (Jero) tu Mfukoni sina HAWAAMINI na wanasema ni MCHOYO kitu ambacho huwa KINANIUMA sana GENTAMYCINE huku Moyoni nikisema wangejua UHALISIA Wangu wa Kimaisha wangenionea hata HURUMA na labda Wao sasa ndiyo Wangenichangia Mimi Pesa.

Kuna muda huwa nakaa na Kujiuliza sana ni Kwanini hali hizi HUNITOKEA wakati Kiukweli GENTAMYCINE ni Mtu wa Kawaida mno mwenye Kadigrii kangu Kamoja tu ka Mass Communication ka mwaka 2009 (tena asiye na mbele wala nyuma Kimaisha) kulinganisha na Watu Wengine.

Nilijaribu Kuwashirikisha baadhi ya Wazee na Wataalam kadhaa na waliponihoji Maswali mengi na kujua kuwa GENTAMYCINE ni Mjukuu Tukuka wa Chifu fulani wakasema hiyo ndiyo sababu na kuniambia mambo kadha wa kadha ambayo nataka Kuyathibitisha kupitia Comments zenu ambazo mtazitoa katika huu Uzi wangu.

Karibuni Mtiririke na Mserereke hapa.
Machifu & Wafalme wote wachawi tu
 
kubwa jinga kwenye peak yake
Angalia unavyoniogopa hadi umeamua kuja na ID yako nyingine ili Kunidhihaki hivi na ile ID yako Maarufu hapa Kuipumzisha.

Bao lililokuleta duniani lingechepushwa kwa Nje leo hii Tanzania isingekuwepo na Uncircumcised Baboon Wewe.
 
mwsho wa uwezo wa kufikiri wa kubwa jinga hauendan na umri wake
 
Una nasaba na Mwl Nyerere!?
Baba yake na Babu yangu Wote walikuwa ni Machifu katika Ngome za Wazanaki.

Baadae Watoto Wao ( yaani Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ) na Baba yangu mkubwa ( nalihifadhi Jina lake japo nae sasa ni Marehemu kama ilivyo kwa Mwalimu Nyerere ) kutokana na Urafiki wao mkubwa tokea Utotoni waliamua kuwa Ndugu kabisa.

Ili Kukamilisha adhma yao hiyo ya kuwa Ndugu Kamili Wawili hawa waliwaambia Baba zao ( Baba yake Mwalimu Nyerere na Babu yangu ) ambapo waliwaelewa kisha wakaitwa Wazee wa Kimila kisha Mwalimu Nyerere na Baba yangu Mkubwa Wakachanjwa na Damu zao Kuchanganywa na kuwa Ndugu rasmi.

Hivyo mpaka hii leo Ukoo wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Ukoo wangu GENTAMYCINE wanashirikiana kwa kila Jambo / Tukio huku tukitembelea na Kujaliana kwa hali na Mali.

Na hata Jina langu aliyenipa ni Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuwa wa Kwanza kuja Kunibeba nilipozaliwa Agha Khan Hospital akitokea Jirani tu Ikulu ya Magogoni.

Nadhani nimekujibu kwa Ufafanuzi.
 
Jiandae kuchukua uongozi wa nchi hii!!

Punguza kubishana na kutukana na mapopoma!

Mapopoma huharibu viongozi KWA kuwapanikisha jamvini!!

Chukua hii!!
 
Back
Top Bottom