Kwanini Tumaini Kweka afanya majukumu ya Mwendesha Mashtaka wa Mkoa na Wilaya katika kesi za Sabaya? Je, ana maslahi binafsi?

Kwa nyuzi hizi mnaweza mkawa mnampeleka kubaya zaidi Ole Sabaya. Mngetulia tu Mungu ndiye Mwamuzi wa haki.
 
Mwisho umeaharibu ingawa sabay ametenda makosa ila kweka Yuko front Sana kuahakikisha jamaa anafungwa napata mashaka sana
 
Mwisho umeaharibu ingawa sabay ametenda makosa ila kweka Yuko front Sana kuahakikisha jamaa anafungwa napata mashaka sana
Kweka yuko mbele kwa Sabaya. Je watenda mabaya Tanzania ni Sabaya tu? Mbona hatumuoni kwa wengine?
 
Kwanza mtoa hoja umekuwa biased. Umeona Kweka ni mkosaji na sabaya ni mtakatifu. Pia umewahukumu wachaga ni wezi wauza madawa lakini Sabaya mtu mwema. Sitaki kusema sana ila

Jiulize wauza unga nchi hii ni wachaga? Mbona wanaokamatwa mara kwa mara sio wachaga?

Je wachaga wanamagenge ya uhalifu, na ikawaje hata magufuli alishindwa kuwakata na kuwafunga? Au kuyamaliza hayo magenge?

Propaganda hizi za kuchafua makundi ya watu hasa wachaga kama kabila ni mbegu mbaya sana ya ubaguzi na inaota mizizi na kukomaa kuna siku tutavuna matunda yake, tutagundua tumechelewa.

Rai yangu tuache dhambi hii ya ubaguzi wa kikabila au ukanda maana tayari imeshaleta mpasuko. 2025 tutaona baadhi ya matunda yake ndani na nje ya vyama.
 
kwani wewe unawashwa nini huyu DPP kuwepo ktk kesi hizi?
Huoni kuwa anafuatilia haki ?
Kwani DPP ndie anafunga watu?
Nahisi wewe ni mfaidika wa ujambazi wa huyu shetani na mwendawazimu
 
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Eboo🙄
Kwa hiyo mwizi akikamatwa anaiba asiadhibiwe kwa kuwa tu kuna wezi wengine waliiba hawakukamatwa?!!!

Hakuna asiyejua kuwa Sabaya ni mhalifu.. Au wewe ni mshirika wake?!

Wacha mahakama ifanye KAZI yake. Akikutwa Hana hatia ataachiwa tu
 
NAIBU DPP HANA KITUO MAALUM ANAENDA POPOTE
SABAYA NI MUUAJI JIZI NA MTEKAJI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Sasa hao wauza madawa ya kulevya,wezi wa magari walioshughulikiwa sabaya mbona hatukuwaona akiwapeleka mahakamani?Au ndio utaratibu kuwa walitakiwa kushughulikiwa na sabaya nje ya mahakama?
 
Serikali haifanyi kazi kama familia yako. Wacha kulialia. Lil.e Jambazi Sabaya lijililie nafsi yake. Jela ni mahali Salama kwake, uraiani na maadui wengi.
 
 
Huyo kweka ni shetani anayeonea wazalendo.

Na kuwapigania wafanyabiashara wakwepa kodi na majambazi ya moshi yanayoiba magari kenya na kuleta Tanzania.
 
Ungeuliza hayo maswali kwenye kesi ya Mbowe
 
Sorry siwatetei nanwala siko upande wa mtu yoyote.
"Pia wengi wanao mlalamikia ni wachaga na mbowe"

Sabaya alikuwa mkuu wa wilaya eneo linalokaliwa na wachaga. Unachoshangaa hapo ni nini?
Kuhusu mbowe sijui
 
Ni wazi Kweka ana maslahi binafsi. Kwanza ni mmachame, anawapambania wamachame wenzake wenye malalamiko dhidi ya Sabaya.
 
Sukuma gang mtakufa kwa pressure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…