Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri muziki unakuja hii mpaka Sasa ni bashraf (intro) tuuAlimuua nani na kumbaka nani? Ni lini alishitakiwa kwa kubaka au kuua?
A
Kwa nyuzi hizi mnaweza mkawa mnampeleka kubaya zaidi Ole Sabaya. Mngetulia tu Mungu ndiye Mwamuzi wa haki.Tumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.
Mwisho umeaharibu ingawa sabay ametenda makosa ila kweka Yuko front Sana kuahakikisha jamaa anafungwa napata mashaka sanaTumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.
Kweka yuko mbele kwa Sabaya. Je watenda mabaya Tanzania ni Sabaya tu? Mbona hatumuoni kwa wengine?Mwisho umeaharibu ingawa sabay ametenda makosa ila kweka Yuko front Sana kuahakikisha jamaa anafungwa napata mashaka sana
Eboo🙄Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
NAIBU DPP HANA KITUO MAALUM ANAENDA POPOTETumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.
Serikali haifanyi kazi kama familia yako. Wacha kulialia. Lil.e Jambazi Sabaya lijililie nafsi yake. Jela ni mahali Salama kwake, uraiani na maadui wengi.Tumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.
Tumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.
Sorry siwatetei nanwala siko upande wa mtu yoyote.Tumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.
Sukuma gang mtakufa kwa pressure.Tumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.
Akitoka moja anarudi kwa nyingineSabaya kushinda rufaa yake ni ishara kuwa kesi zote ni za kubumba.