Kwanini tume za Samia kuhusu 'Ghasia za Uchaguzi' mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kwanini tume za Samia za uchunguzi wa ghasia za uchaguzi mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu?

Je, Waislamu wana agenda ya kuangamiza Wakristo?

Kila aliyetekwa ni Mkiristo, then tume zinaundwa za Kiislam?

Au hii inaweza waokoa waislam dhidi ya tuhuma nzito na mipango mibaya dhidi ya Tanganyika?
JAJI SHABANI LILA JF 2.png
 
View attachment 3590714
Kugawa na kutawala ndio anapoweza, kutengeneza Tundu la kutokea. Akili mukichwa.
 
Kwanini tume za Samia za uchunguzi wa ghasia za uchaguzi mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu?

Je, Waislamu wana agenda ya kuangamiza Wakristo?

Kila aliyetekwa ni Mkiristo, then tume zinaundwa za Kiislam?

Au hii inaweza waokoa waislam dhidi ya tuhuma nzito na mipango mibaya dhidi ya Tanganyika?
View attachment 3590714
Waislam si mnasema hawajasoma?

Sasa kwanni Rais kaweka watu wa Darasa la Saba kwenye iyo tume?
 
Kwanini tume za Samia za uchunguzi wa ghasia za uchaguzi mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu?

Je, Waislamu wana agenda ya kuangamiza Wakristo?

Kila aliyetekwa ni Mkiristo, then tume zinaundwa za Kiislam?

Au hii inaweza waokoa waislam dhidi ya tuhuma nzito na mipango mibaya dhidi ya Tanganyika?
View attachment 3590714
Duuu kama Taifa tuna Safari ndefu ukombozi utachelewa sana kwa hawa vifutu kama kuwaza kwenye angle ya udini shame on you 🚮🚮🚮🚮
 
Kwanini tume za Samia za uchunguzi wa ghasia za uchaguzi mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu?

Je, Waislamu wana agenda ya kuangamiza Wakristo?

Kila aliyetekwa ni Mkiristo, then tume zinaundwa za Kiislam?

Au hii inaweza waokoa waislam dhidi ya tuhuma nzito na mipango mibaya dhidi ya Tanganyika?
View attachment 3590714
Udini udini udini...
Hayo ni majina tu Wala hayana uhusiano na uislam...kwani hana sifa za kuwa mwenyekiti ??
Namdharau sana mtu anaehoji vitu kwa mrengo wa kidini...
 
Usiseme uongo inatufunga na mama katuonea huruma nasi tunamshukuru kwa kutuepusha dhambi zake.
 
Kwanini tume za Samia za uchunguzi wa ghasia za uchaguzi mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu?

Je, Waislamu wana agenda ya kuangamiza Wakristo?

Kila aliyetekwa ni Mkiristo, then tume zinaundwa za Kiislam?

Au hii inaweza waokoa waislam dhidi ya tuhuma nzito na mipango mibaya dhidi ya Tanganyika?
View attachment 3590714
Na kila siku masheikh wao wanajinasibu waliouawa waliokuwa wakristo
 
Kwanini tume za Samia za uchunguzi wa ghasia za uchaguzi mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu?

Je, Waislamu wana agenda ya kuangamiza Wakristo?

Kila aliyetekwa ni Mkiristo, then tume zinaundwa za Kiislam?

Au hii inaweza waokoa waislam dhidi ya tuhuma nzito na mipango mibaya dhidi ya Tanganyika?
View attachment 3590714
dini yako, yangu au yake haina maana yoyote kwenye mambo ya jumla muhimu ya kitaifa gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom